Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu hii ndo list ya movie za zilizoandaliwa na director mkali James Cameron [emoji419]avatar:the way of water [emoji419]true lies [emoji419]titanic [emoji419]avatar [emoji419]entourage...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
SEHEMU YA 01: Siku hiyo mvua ilinyesha sana halafu shuleni kulikuwa na mitihani na mama alinitaka nirudi nyumbani kufanya kazi fulani, kwa hiyo nikaamua kumfuata mwalimu mkuu ambaye alikuwa...
2 Reactions
28 Replies
29K Views
After barely surviving his previous mission, Tyler Rake retires from mercenary work to a cabin in Austria, where he is approached by a stranger and asked to rescue his ex-wife Mia's sister Ketevan...
2 Reactions
13 Replies
868 Views
Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead Nimeipenda na...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Mzigo ukopoa sana. release date April 24 2020.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilianza kumuona kwenye saga maarufu za fast & furious. Bt sikumtilia mkazo sana maana nilikuwa kama namuona mzembe mzembe fulani hivi. Siku ya jana ndio nikadaka movie moja inaitwa "Army of...
1 Reactions
10 Replies
912 Views
RIWAYA: KIROBA CHEUSI MTUNZI: LAURA PETTIE SEHEMU YA KWANZA 1 PALISHAKUCHA. Pakuche mara ngapi? Ni vile tu huyu Morena alilala chakari. Asubuhi hii ya saa nne, kwake ilikuwa ingali liamba. Alilala...
4 Reactions
44 Replies
12K Views
Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!. tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kila nikiangalia hii video nafurahi, yule dada aliweza kuinogesha, haimaanishi kuna cha ajabu amekifanya ila mimi naona kuna cha utofauti na mavideo queen wengi tunao waona. . Naomba kuuliza ni...
3 Reactions
1 Replies
478 Views
yangasc THANK YOU @miltonnienov Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri...
1 Reactions
17 Replies
978 Views
DEAR SON# Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na.. Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na.. Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu.. kama kuna kosa kubwa nilifanya...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
DEAR SON# Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na.. Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na.. Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu.. kama kuna kosa kubwa nilifanya...
1 Reactions
2 Replies
313 Views
Westlife- If I let you go - Brandy- True
17 Reactions
856 Replies
66K Views
Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia? Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
MAPICHA YANGU... THE RAP MONSTER, LYATUU Ee bwana weee! Huyu niliye naye pichani alikuwa bonge la mtu kwenye rap na mwonekano wake. Picha linaanza, jamaa ni mtu wa chuga, rudi nyuma mpaka kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Simulizi Ya Maisha na Upelelezi; ISHINI BADALA YANGU WANANGU Mwandishi; GILBERT EVARIST MUSHI PHONE: 0765824715 Sehemu ya Kwanza Sauti ya maji ndiyo iliyokuwa ikisikika ndani ya masikio yake...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Heat! Of course, it's the first thing my sensitive skin felt. The temperatures which could worsen hell's description and make the whole mankind to instantaneously cease sinning. Secondly, stale...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Idea ya wimbo huu ni unique mtunzi ni kama ana maswali kwa mwenyezi mungu hususani yanayohusu kifo kwa nini watu wema wanakufa then wabaya wanabaki sasa katika wimbo wake akapendekeza watu...
3 Reactions
3 Replies
995 Views
UTANGULIZI Ni hadithi inayohusu kijiji kilichopo mkoa wa simiyu wilaya ya bariad ambacho kiko umbali wa takribani kilometa 12 za mlaba kutoka simiyu mjini, kama hili jina litakuwa geni kwako na...
3 Reactions
99 Replies
17K Views
Huyu amepotea au ndio amefika ?
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom