Moja
KIJIJI cha Tung’aine kinapatikana mkoani Mara katika wilaya ya Tarime mpakani kabisa na nchi jirani ya Kenya. Huko unapatikana mto mkubwa unaojulikana kama mto mesani. Ni katika bonde kubwa...
Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams'...
WAVULANA JILINDENI NA MABINTI JICHUNGENI
(Epsode 01)
Kijana aliyesoma miaka 17 kutoka shule ya msingi mpaka chuo kikuu bila kuwahi kutongoza mabinti, kuzini na mabinti wala kujichua aandika...
Namsikia Maulid Kitenge akiejea Wasafi FM akiwa na Gerald Hando.
Nadhani mtakumbuka kilichompata Hando pale hivi karibuni. Maulid kaanza na upembuzi wa magazeti lakini leo kaingia kwenye upembuzi...
Database of Movie Dialogs
You Only Live Twice (1967) | It's a movie | Find on IMDB
Full transcript in English languagePermalink here (line 1)
Calling Cape Com. Cape Com?
This...
Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo...
Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp.
Amesema Lable hiyo itakuwa...
Twende kazi,
Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa...
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe...
Ilikuwa tarehe 25 mwezi wa 5 mwaka 2012 safari yangu ya kwanza kwenda South Africa, nikiambatana na dadaangu ni Mdogo kwangu tukielekea kwa madiba, tena ikiwa yeye dadaangu ndo mwenyweji wangu uko...
Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume.
Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
Kwanza niweke wazi mimi sio mpenzi wa hizi Tamthilia za kifipilino, Kikorea, sijui kituruki zinazorushwa Kwenye hivi vituo vya TV zetu zinazoingizwa maneno ya kiswahili.
Nakumbuka nilikua...
Chombezo : Dunga Dunga Sehemu Ya Kwanza (1)
Kila siku katika maisha yangu nilikuwa najiona kuwa mimi ndiye kijana ambaye nilikuwa naongoza kwa kutembea na wanawake katika mtaa wetu wa Magomeni...
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho.
Big up Majizo kwa kuwa...
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku...
Kama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa.
Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa...
35 years ago today, Whitney Houston's "Where Do Broken Hearts Go" reached #1 on the Hot 100.
It became Whitney's seventh #1 hit in a row, making her the artist with the most consecutive #1's in...
Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa.
Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.