Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam...
Verse 1 (Wahu)
sikiza mpenzi
mi nikueleze
yalo moyoni ni mengi si machache
roho yangu imejaa uchungu
you never miss the water till the well is running low
imekuwa muda
tangu tuonane
nilitaka sana...
Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa...
Ni muda mrefu sana kwenye hizi anga za simulizi, sasa hatimaye nimerejea na hadithi hii.
Kwa wale wageni, waweza tazama hizi ... ni kazi ya mikono yangu ...
KALI KUTOKA AM RECORDS
Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS;
1. NIMEDATA - JUX
2. NAPATA RAHA- JUX
3. NITASUBIRI - JUX
4. UTANIUA - JUX
5...
Habari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39].
Mimi kuna...
Nilikuwa kwenye daladala jioni hii na buzuki time hewani redioni. Umechezwa huo wimbo zaidi ya dakika 8 kwenye ile sebene tu. Kuingia youtube wimbo una dakika 12:40.
Sasa mdau wa muziki kuna...
Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu...
Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu
Mwenye kujua kuna la...
“Nina Idea kadhaa nilikua nataka nziipeleke kwenye vituo vya TV, Naomba kujuzwa mambo haya..
-Nifanyeje ili niwafikie wahusika wanaohusika na kupokea Ideas(labda content managers, production...
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea...
SEHEMU YA KWANZA.
Nikiwa nimerudi kutoka shuleni nilikutana na mama nje ambaye alinambia tumepata mgeni ambaye atakua akitusaidia kazi za ndani yaani dada wa kazi, kutokana na uchovu na fimbo za...
NITAKUPA TU
SEHEMU YA 001
*********
Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika...
SEHEMU YA KWANZA:
JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba yetu alifariki miaka mitatu iliyopita...
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.