Michezo ya slots yaani online slots inakuja kwa kasi sana hasa Jackpots zake. Sasa naomba kuuliza Jackpot hizi za michezo ya slots wadau mnazionaje? Je ni ukweli au kuna mbambamba tu jamani...
THE SPIRIT THINKER.
UTANGULIZI
Berlin, Ujerumani
SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii...
Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana...
Kipindi cha 2012 kushuka chini wasanii walijizolea umaarufu sana kwa nyimbo moja tu.
Kuna hawa vijana wa university corner na wimbo wao wa t-shirt na jeans.
Kiukweli wale jamaa kama ni jina lao...
Wakuu kwema? Bila kupoteza muda naomba kufahamu ni sehemu gani naweza kupata lyrics ya nyimbo za kibongo aina zote?
Mfano nyimbo kama ya baba levo inaitwa wanyee naweza pata lyrics yake wapi?
Wafalme wa Hollywood walikusanyika ili kujua ni nani aliyeshinda Tuzo ya Oscars Usiku wa Jumapili. Hii hapa orodha ya washindi na wateule wote waliotangazwa katika Tuzo za 95 za Academy huko Los...
Amapiano ndio habari ya mujini kwa sasa kunako sekta ya burudani hasahasa kiwanda cha muziki. Kama Amapiano ni jina geni kwako basi sikiliza wimbo wa Mama Amina wa kwake Marioo ft Sho Madjozi na...
MAPENZI BWANA NI PESA
Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena,
Ukiwa na nyingi pesa, tapendwa na wasichana,
Macho kwako tapepesa, hela wakishaziona,
Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena...
Kupitia ukarasa wa Instagram wa msanii huyo, familia imeweka taarifa ya kupokea taarifa za kufariki kwa Constantinos Tsobanoglou aliyeanguka ghafla akiwa jukwaani.
Pia, familia imewashukuru Watoa...
Hapa siongelie zile historical kama Jumong, Yisan, Painter of the Wind, Tree with Deep Roots n.k., naongelea zile modern.
Kwa kweli nyingi nazoziona ni kama zinafanafana saana as well as ni...
Wakuu hii ndo list yangu ya movies za kisanyansi na fiction za muda wote enjoy
[emoji419]Terminator
[emoji419]planet of the apex
[emoji419]Alien
[emoji419]Blade runner
[emoji419]The matrix...
Wakuu hii ndo list ya movie zilizotengenezwa kwa budget kubwa na pesa walizoingiza kupitia box office
[emoji419]Star wars:the force awakens $446million , box office $2,068,223,624...
Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering.
Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu...
Song...
This is the story of a young man who grew up in the ghetto with his mother. As a child, he didn't understand the struggles his mother faced to raise him and his siblings on her own. He caused her...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.