Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimekuwa mlevi wa movie za Aina hii Science) kama vile space movie nazikubali sana Bila shaka sipo mwenyewe dondosha movie lako Kali la Aina hii hapa.
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Sent from my iPhone using Tapatalk
3 Reactions
44 Replies
11K Views
Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JF Wakali wa MOVIE [emoji327] [emoji897] Naomba anayefahamu jina la hii movie. Mzee kala kipigo
1 Reactions
2 Replies
766 Views
Kila mtu anamambo yake ambayo hufanya ili kukabiliana na msongo wa mawazo pale ambao hukabiliwa na matukio yenye kumuumiza kiakili na kihisia. Wengine huchagua kujitenga na watu kwa muda...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
MWANDISHI: INNOCENT Tulianza mapenzi yetu tangu tukiwa secondary na hatukuishia hapo penzi letu lilifanikiwa kufika mpaka chuo kikuu pale mzumbe tawi la mkoa wa Mbeya mungu mwema na hatimae...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
The following link will take you to the place ambayp utadownload Album nzima ya Immortal Technique. Ukiipata naomba uwape wenzako woote. Download Immortal technique-Martyr.zip from Sendspace.com...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakuja kwako Mungu, shingoni yamenifika, Naongea kwa uchungu, na machozi kadhalika Wajua moyoni mwangu, hauwezi kufichika Nisaidie Rabana, shingoni yamenifika, Magonjwa yanitikisa, maumivu...
1 Reactions
10 Replies
324 Views
KIUMENI, MAANDISHI MATATU TMK WANAUME FAMILY Pengine ni sahihi kama tukianza kuizungumzia Temeke kwa kuutaja uwakilishi wa mwanzo kabisa wa kundi lililofahamika kama Gangstaz With Matatizo ama...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Kupitia #Twitter na #Instagram, Wizkid ameandika "Kwa sababu ya hali zisizotarajiwa, More Love, Less Ego Tour imeahirishwa hadi mwishoni mwaka 2023, Tiketi zote zilizonunuliwa zitapewa kipaumbele...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Binafsi nikiwa kijiweni kwangu napendelea kuweka mix kali kwani zinanifanya nifanye kazi bila kuchoka kwavile napenda sana muziki, napendelea zaidi muziki mzuri uliomiksiwa na madj wakali kuliko...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Abdallah, Hasara Roho, D Timing, mtoto wa Kusini, mtoto wa Kiwalani, MTOTO WA MASKANI?? Mara ya kwanza nilimsikia kwenye ngoma yake iliyoitwa "Uwe Wangu" akimshirikisha Dully Sykes kwenye chorus...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
SIMULIZI; I LOVE MY TWINS (NAWAPENDA MAPACHA WANGU) MWANZO. Dunia nzima ilisimama kushuhudia tukio la ugawaji wa tuzo kubwa za muziki zilizotolewa na kampuni kubwa ya utangazaji ya MTV yenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtangazaji #NickCannon akifanya mahojiano na kipindi cha #EntertainmentTonight, amesema suala la idadi ya Watoto halimhusu yeye na hivyo hawezi kusema kama amefikia mwisho wa kupata wengine...
3 Reactions
12 Replies
891 Views
Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Simulizi: 𝐊𝐀𝐑𝐀𝐍𝐈 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 Sehemu ya...........01 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐙𝐎 Wingu kubwa jeusi, radi na miungurumo ya hapa na pale ilikuwa imeshika kasi na kufunika mlima mkubwa maarufu...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Mzuqa wanaJF! Nikutulia tu ndani nakuwa entertained Na movie Na JamiiForums. Kwa wale mashabiki wa movies ningependa muiangalie hi movie ya Zombie. Mimi siyo shabiki mkubwa ya movie za zombie...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Back
Top Bottom