habari wapemdwa mimi ni kjana wa miaka 20 napenda kufanya music production na kumake beats za aina tofauti za mziki bado najifunza ndo nina miezi 2 tu hapa hebu sikiliza kama naweza au niongeze...
jamani hii cartoon ya super man inayokuja kwa sasa inachochea ushoga kwenye cartoon,dc comics wameona cartoon yao inapendwa sana world wide kwa hiyo wameamua kwa sasa kutangaza ushoga live kupitia...
Kama unapenda series kali zisizo na mbwembwe za hovyo hovyo basi fanya kuitafuta hii series ya Ki-British inayoitwa 'Suspicion'. Kabla sijakupa premise yake nataka nikupe sifa zake mapema ili...
Hello wakuu, mara nyingi wasanii wanaohit ndio tunaamini wanajua, kumbe wengine wanabebwa na labels, marketing, algorithms, nk. Nk.
Makampuni kama Universal, Sony, nk. Nk. Yanaweza kupush mimbo...
The Woman King - Official Trailer
Bow down to the most exceptional female warrior to ever live
The Woman King is the remarkable story of the Agojie, the all-female unit of warriors who protected...
Leonard Mbotella
Leonard "Mambo“ Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kote nchini kutokana na huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu 1964. Alikuwa mtangazaji wa...
Kuna wakati mwingine kuna baadhi ya game zipo kwasababu ya kukupotezea muda wako
Nyingine zipo ili kukomaza akili yako juu ya mambo mbalimbali
Ila hii game ya megapolis ni elimu tosha juu ya...
Basi bhana kunasiku nilikuwa nimetoka shule. Nimwezi wa kumi na tumemaliza kidato cha nne na nilikuwa na raha sana.
Basi bhana kufika Moshi Mjini nilikuwa na dada alikuja na taxi tukatuwa Moshi...
Habari wapendwa,
Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo...
Habari zenu...
Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema...
Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii...
Hizi ndio kwaya bora kabisa kuwahi kutokea nchini.
Vigezo vilivyotumika:
1. Kuimba nyimbo zenye msingi katika neno la Mungu.
2. Ujuzi katika upigaji vyombo vya muziki na sauti.
3. Nyimbo...
SUMAYA FATE OF LOVE
SEHEMU YA PILI
Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka...
Fortico security walimtambua kama Patrick Hill kwenye kazi zilizohitaji usafirishaji wa fedha, aliajiriwa yeye kama mmoja wa wasindikizaji hao.
Kanuni ndogo tu, unafanyiwa mazoezi ya matumizi ya...
Hapo kale paliondoka ndugu wawili, mmoja ana mke, mmoja hana, wakakaa. Yule asiye na mke, akamwambia mwenziwe, “Nimejua, hapana mke awezaye kusitiri neno. Kama hujui mjaribie mke, wako.”...
Ngoma inavyoaanza unamsikia Sugu akisema kuwa hii anaitoa kwa mwanafunzi aitwaye Michael Sukupia wa Iyunga aliyefia mikononi mwa polisi. Ila wengi hatujui stori zaidi na kiundani kuhusiana na kisa...
Enyi watu makini wa JF,
Nimeamka nimekutana na ujumbe wa produza ambaye ni jamaa yangu ya kuniomba nimuunge mkono huyu bwana.
Nimemsikiliza lakini bahati mbaya sina sikio zuri la kutambua kipaji...
Kama ww ni mfatiliaji wa series za Korea bas hutapinga kuhusu hili kua IRIS ndio sereis bora ya kipelelez nchini Korea.
Hii series ndio ilikua series iliotumia budget kubwa mpka pale series kama...
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake.
Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho.
Mwenye huu wimbo please aubandike hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.