Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies Wachuja nafaka yaleo Kali Hardman-tamala Adili ft Domo kaya pekee...
5 Reactions
9 Replies
944 Views
Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
0 Reactions
10 Replies
543 Views
Mwandishi wa kitabu: Peter Charlz Mchoraji: Peter Charlz Instagram / Twitter / Facebook: petercharlz255 Email: petercharlz255@gmail.com Shukrani za dhati kwa kila alieshiriki kuandaa kitabu hiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani sehemu ya 01 SEHEMU YA 01 Mvua kubwa ilikuwa ikinyesha, mitaro midogo ikaanza kujaa maji huku baridi likianza kupiga kwa nguvu ndani ya jiji la Dar es Salaam...
6 Reactions
161 Replies
25K Views
Verse 01: Kipyenga kimelia Mambo Magumu/ Mithili ya Sumu/ Uchungu na maumivu ambayo huwezi kuvumilia/ Kaa tulia/ Futa machozi msela inatusumbua hela/ Hatuna hata kitu kidogo Cha kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
T
3 Reactions
0 Replies
318 Views
Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album. yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Best Male West Africa Oxlade – Nigeria Kidi – Ghana Buju – Nigeria Black Sheriff– Ghana Fireboy– Nigeria Didi B – Ivory Coast Ruger – Nigeria Samba Peuzzi – Senegal Omah Lay – Nigeria Best...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Pharoah Sanders, mpiga saxophone wa Jazz wa Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Habari hizo zilithibitishwa na lebo ya Sanders, Luaka Bop, kwenye Twitter. "Tumesikitika kushiriki...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
RIWAYA: BARUA KUTOKA JELA. MTUNZI: IBRAHIM GAMA SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni Jumapili moja tulivu, majira ya asubuhi. Gereza la keko lilikuwa katika pilikapilika, kama ilivyo kawaida yake katika...
10 Reactions
308 Replies
109K Views
Msanii mzuri utamjua katika kuandika nyimbo zenye maadili na zinazokubalika tu. Hawa sijui amelowa, mara imwagie ndani hawana lolote there are there only to make money infact sio wasanii wazuri...
0 Reactions
4 Replies
529 Views
Wakubwa heshima kwenu,wadogo asante[emoji120] Leo nlikuwa natazama kipindi cha 'the story book' ambapo mada ya leo ilikuwa ina wahusu kabila fulani kule Africa magharibi,kabila hilo inasemekana...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu...
1 Reactions
3 Replies
759 Views
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na rafiki yangu kipenzi aitwaje Mayasa alifurahi kuniona nami pia tuliongea mengi sana pia ila akanisimulia hali yake ya ndoa " Mayasa: MAYANGA nimefurahi...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Kizungumkuti! Na Bishop Hiluka “Hii ni trela tu, picha kamili keshokutwa! Hakyamungu keshokutwa hakai mtu hapa… mi naapa! Nitakunywa na nitatembea uchi ukumbi mzima kama mademu wakinimaindi poa...
22 Reactions
624 Replies
90K Views
Habari wana jamvi... Kama kichwa kinavyosema hapo juu... Nilikuwa naomba mwenye PDF ya Kitabu cha JORAM KIANGO LAZIMA UJE au kwa jina lingine lolote... Kuna movie moja nakumbuka niliiona ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
The world's oldest female bodybuilder wakes up every day at 02:30 to fit in a 10 mile (16km) run before hitting the gym. But 75-year-old Ernestine Shepherd insists that "age is nothing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
7 Reactions
102 Replies
5K Views
Back
Top Bottom