Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Please msaada jamani naombeni anayejua wimbo wowote mzur wa Roman Catholic
1 Reactions
123 Replies
53K Views
Netflix Inc inasema mfumuko wa bei, vita vya Ukraine na ushindani mkali vilichangia upotezaji wa watumizi kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja na kutabiri hasara kubwa mbele, kuashiria...
1 Reactions
2 Replies
650 Views
Siku P.DIDDY Akiimba ngoma kali kuizidi hii COMING HOME naombeni mnishtue wadau... P.DIDY FT SKYGRAY, DIRTY MONEY__COMING HOME[emoji119][emoji119] Hii vesi...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
1. KONTAWA 2. NACHA 3. BANDO MC 4. MANENGO Hawa ni baadhi ya wakali wa michano wanaostahili kupewa support na heshima kwa uwezo wao mkubwa wa Lyrics kali Styles kali Kunata na beats
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rufufu Mkandala DJ Spencer DJ Afro Abdu DJ DJ Murphy Ongeza na wengine.
6 Reactions
140 Replies
45K Views
Naomba kuwa specific kwenye kipaji nilichonacho cha muziki! • Kati ya bongo flaver na gospel songs, ni muziki upi ambao naweza kuufanya na nikatoka na kujulikana kirahisi? • Vipi kuhusu namna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Oya kijana" "Naam bro, karibu" Alifungua mlango kama haamini vile "Aisee tumshukuru raisi wa awamu ya sita, anaupiga mwingi, Nimeweza kukuta nyumbani leo, yuko kazini..." "Yuko site unaambiwa...
2 Reactions
2 Replies
514 Views
Wakuu salamu. Kuna picha ya Rais Samia inasambaa mitandaoni ikimwonesha yupo na mzungu mmoja hivi. Watu wengi wamekuwa na maoni negative kuhusiana na hiyo picha? Je,kwa mtazamo wako ukiitazama...
9 Reactions
71 Replies
7K Views
kati ya Tamthilia za Bongo inayoongoza kwa UONGO ni hii ya HUBA DEV kapigwa Risasi yupo ICU lakini TESA kama Mama yake DEV Anaonekana hajapata Mshtuko wowote Kaenda Hospital kajivalia SUTI...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Whatsapp no. 0629980412 Email: ommyboytz30@gmail.com ( SEHEMU YA 01 ) [emoji24][emoji3064][emoji174][emoji91] Kwa majina naitwa Witness Kijeba, ni mtoto pekee wa mzee Kijeba na bi Kijeba. Mimi ni...
3 Reactions
8 Replies
10K Views
Na Michael Mngumi “Nataka kuwa mpanzi katika nchi ya kigeni. Nataka kuipanda mbegu ya mtende katika shamba la ngano.” Nilikuwa nikiyakumbuka maneno aliyosema marehemu babu yangu asubuhi moja...
1 Reactions
5 Replies
13K Views
1. Love and other drugs Jamie Randall, a pharmaceutical sales representative finds love in Maggie, a young woman who suffers from early-onset Parkinson's disease, just as his career begins to...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Sijajua kwa serikali ya Tanzania kama wameanza kuwekeza kwenye filamu kuionyesha dunia ni kwa namna gani Watanzania tulivyo, serikali ilivyo kwa wananchi wake, bado sijajua. Kwa Marekani...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Salute bosses, wanaume tuwe makini, tuache ubishi wa kipuuzi. Hiyo picha inajieleza[emoji116]
18 Reactions
139 Replies
7K Views
1. Ed Sheeran - Thinking Out Loud 2. Whitney Houston - I Will Always Love You 3. Taylor Swift - Love Story 4. Aerosmith - I Don't Want To Miss A Thing 5. John Legend - All Of Me 6. Sam Smith - I'm...
22 Reactions
304 Replies
42K Views
Mi nampa Mex jamaa anajua anabadilika style nyingi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ni series bora basi naweza kuitaja Game of thrones,Prison break na 24 au Once upon a time ya mheshimwa Rumple stiltr skin na hii ni kutokana na mpangilio wa story matukio ubora wahusika...
2 Reactions
0 Replies
529 Views
Wanabodi karibuni sana twende pamoja kwenye Riwaya hii: JINA : PENZI HARAMU MWANDISHi: ZAWADI B LUPELO Karibu SEHEMU YA KWANZA Ndani ya ukumbi wa Black Lord Hall majira ya usiku watu wa kila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom