Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Tanzania yajiweka Mguu Sawa Kuandaa Tuzo za MTV Afrika Mwaka 2023 Na Shamimu Nyaki - WUSM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu leo Mei 09, 2022...
1 Reactions
1 Replies
535 Views
Angalia mwenyewe hapo Chini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello y’all Shuleni tulifundishwa kwamba kazi ya fasihi ni kufundisha, kuonya, kuburudisha na kukosoa, lakini pia kuna phrase moja inasema kwamba “Literature doesn’t exist in Vacuum” . kwamba...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
La casa de papel inatoka lini wadau huwa naikubali sana
0 Reactions
7 Replies
496 Views
Mambo vipi wakuu Kuna kaswali kakizushi, naomba tubadilishane uzoefu, kwani inafahamika kila mtu kuna kitu flani anakipenda. Kuna watu wanapenda sana MSOSI. Mnyime kitu chochote lakini sio...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni: 1. SACRIFICE. 2. The BRIGDE AT toko -Ri 3. The...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza. Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Chagua kimoja, kama upo karibu nikupatie。 Treasure Island, Journey to war, Adventure of English Literature
4 Reactions
1 Replies
479 Views
Yaan kuna wasanii hawaeshimu kabisa protocol za mavazi. Haya cheki huyu jay melody nani anampa kiburi cha kuvaa suruali ambayo haimtoshi, suruali ambayo kavalia mkanda huku kafunga...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nitajie movie ambayo jambazi ni handsome kuliko starring
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Kama wewe ni mpenzi wa series basi kwenye hii series kuna mtaalamu Jason momoa majamaa ni vipofu lakini wanahisi na uwezo mkubwa wa kusikia kama unapenda insane action humu wanakiwasha kweli hii...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna love story alafu kuna am in love with church girls [emoji130]. Miles Montego ni jamaa flani muuni sana mtu wa dili zote chafu kuanzia kuuza madawa ya kulevya mpaka siraha haramu. Jamaa...
5 Reactions
4 Replies
755 Views
Kama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
10 Reactions
39 Replies
6K Views
Simulizi: Nusu Ya Uhai Mwandishi: Akaliza Tuanze. 2017, KASANGA-KIGOMA. Majira ya usiku shughuli za uvuvi zilikuwa zikiendelea kama kawaida, boti nyingi na mitumbwi zilikuwa na idadi kubwa ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi sasa Series za kibongo zimefanya watanzania wawe busy kusupport kazi za nyumbani. Tamthilia kama JUA KALI, PAZIA, PINI, SINGLE MOTHER, MWANAMZIKI KITASA n.k Zinafatiliwa sana. Inafaa kabisa...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu mpo? Leo nimeona nike kwenye pande za burudani kuna uzi jamaa alianzisha kuwa Michael Scofield ni zaidi ya professor. Nilicheka sana kwa kujua hivi ni vile vitoto viliaminishwa tu havijui...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Marvel's Doctor Strange in the Multiverse of Madness tayari ameingiza dola milioni 42 kabla ya mauzo ya tikiti kabla ya kutolewa Mei 6, Filamu inayokuja sio tu muendelezo wa Doctor Strange wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ezekiel 25:17 (Dialogue) Lyrics [JULES] "The path of the righteous man is beset on all sides by the inequities of the selfish and the tyranny of evil men. Blessed is he who, in the name of charity...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Tittle: A confession of a mad man Author: DIZASTA VINA Jina lake silikumbuki kwa sababu sikumuuliza anaitwa nani. Lakini kwa sasa hivi nikitafakari, ninaweza kumbatiza jina la Malaika. Ndiyo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ikiwa leo ni tarehe 30/04/2022 ni takriban siku kumi zimepita tangu kutokea kwa tukio hili. Iko hivi; ilikuwa juma tano ya tarehe 20/04/2022 mida ya saa 2:45 za usiku wakati nikitazama kipindi...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom