Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu, Huu ni mmojawapo ya nyimbo nzuri za Rihanna na ni wimbo ninaoupenda, Naomba mnifafanulie ujumbe uliokusudiwa na Rihanna kwenye huu wimbo wake Te Amo! Alikusudia kutupa ujumbe gani...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Amemshirikisha dogo anaitwa Coded (4x4), ni ngoma yenye takribani miaka 9 tangu itoke lakini masikioni mwangu haichuji kabisa. Enjoy the good music [emoji2] https://youtu.be/dgcj27dzfqM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Harmonize baada ya kupoa amekuja na dude kubwa alo konde gang sawasawa wamekuja na video Kali ya kung'aa dhahabu yaani pesa tupu.ngoma kweli ya mauzo au mnasemaje Hizi hapa lyrics Hahahaha we...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Pia unaweza kuisoma hadithi hii na nyingine nyingi bure ndani ya maktaba app(by pictus). install toka playstore. KISA CHA NDUGUYE KINYOZI WA TANO MIMI ni Kinyozi na nina ndugu sita. Hiki ni...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeitazama muvi ya Binti, niseme tu ni moja ya filamu nzuri sana ya Kitanzania ambayo inapaswa kutazwa na kila Mtanzania, unajua kwa nini? Ni kwa sababu inaonyesha mapito ya mabinti wanne...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Andika hapa wasanii wanaotoka ndani ya mkoa wako ili tuone mkoa wenye wasanii wengi na wazuri. .Belle 9
0 Reactions
36 Replies
14K Views
WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wasaalam ndugu zangu, Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama...
10 Reactions
142 Replies
22K Views
Wapenzi wa Turkish series, naomba mnisaidie majina ya series kalikali nichek[emoji13]
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo Tarehe 18/01/2021 Msanii Kutoka +254 (Kenya) Ameachia Nyimbo Yake Rasmi Aliyomchirikisha Msanii Kutoka Tanzania Harmonize A.K.A Tembo..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Kupitia AzamTv kuna tamthilia inaitwa kombolela, iko vizuri sana, mimi sio mpenzi wa tamthilia za Bongo, ila hii ni kali. Inaakisi maisha halisi ya uswahilini, maisha halisi ya Mtanzania wa hali...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa wale mnaotumia kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, wimbo namba 49, au Tenzi za rohoni (sijui upo namba ngapi) au wote mnaoufahamu wimbo huu, (nakutegemea Yesu) ni wapi naweza kupata"...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
IMEANDIKWA NA : RICHARD MWAMBE ********************************************************************************* Simulizi : Julai Saba Sehemu Ya Kwanza (1) Dunia inakumbwa na wimbi la ugaidi...
5 Reactions
19 Replies
10K Views
Kawaida western huwa zinakuwa na actors wazungu ila hii ni macowboys weusi watupu tena wenye majina makubwa. Stori ni jamaa kurevenge vifo vya wazazi wake lakini kuna plot twist moja nzuri sana...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wanaJF Nazungumzia nyimbo kama za Alakina: Harusi Mabelee Pepe Kale Boz bozian Zaiko Langa langa JB Mpiana Koffi Olomide Defao e.t.c.......... Nime gundua nazipenda sana Zuku za Zamani...
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Tubadilishe content kidogo na narrative ya muziki wa kizazi kipya. Vijana hawafanyi maendeleo kwa sababu miziki ya kisasa inawahamasisha kufanya starehe na sio kuwekeza au kufanya mambo ya maana...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, Kama ombi lilivo hapo juu, Official Audio na Official Video zote hazipo kwenye digital platforms. Msaada kwa mwenye nayo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Labda nikiri tu kwa upande wangu hasa katika mziki wa reggae nimekuwa nikimsiliza zaidi legend Bob Marley Kutokana na mziki anaofanya kuwa na messages nzuri sana Sasa wakuu ukiachana na Bob...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu mwamba kwenye reggae music yuko underrated. Hii ngoma Ngixolele na ngoma zake kibao kama Soldier ni kali sana na kweli ulimwengu wa Reggae to me he's next after Bob then Dube anakuja nafasi ya 3.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom