Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.
Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza...
Kuna sinema ilikuwa inarushwa Azam TV sinema zetu ikijulikana Kwa jina la Shilingi.Ilikatishwa ghafla ikiwa katikati ya utamu.Nisaidieni namna ya kuipata full movie
Sent from my Nokia 5.1 Plus...
Nna Idea ya Kipindi cha Television kwa muda sasa, na idea ikiwa kichwani nimekua nikiiboresha siku mpaka siku, niliporidhika kuwa ipo tight nikaamua kuiandika, nimeiandikia Proposal ambayo...
Guys.. Leseni ya Azam ime target Kundi flani la Dini au ni wao wenyewe wame amua kulitega Kundi flani?? Nahisi ni mkakati flani wa kueneza Tamaduni flani Hapa TZ.
Ifiatayoni nyimbo zangu nilizozisikiliza mara nyingi zaidi kwa mwaka huu 2020
Kutoka Tanzania nyimbo zangu bora mwaka huu ni..
Joh Makini ft Lady Jaydee _Kiwembe
Darasa ft sho madjozi _ I like it...
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo.
Hii filamu...
Kwanini Mimi[emoji24][emoji24] ep [emoji2388][emoji2390][emoji1370][emoji1370]
SIMULIZI YA MAISHA: KWANINI MIMI? 02
MWANDISHI : MIKA AUTHOR
MSAMBAZAJI: Simulizi za Gilbert
MAWASILIANO...
Wale wanangu wa Kustream movies, hii hapa ofa. Unapewa log in details za NETFLIX kwa mwezi mzima. Baadala ya kulipa 10,000/- , hapa utachangia kiasi kidogo tu. 6,000/-. Ofa ni kwa watu kumi wa...
Wakuu habari,
Kuna movie naitafuta ila nimeshindwa kupata jina lake
Naambatanisha picha za wahusuka kwenye movie hiyo basi kama utakuwa unaifahamu naomba unambie jina lake
Kama mada inavyojieleza
Nimefanikiwa kudownload series ya Strike Back kuanzia season ya 1 mpaka ya 5 (Legacy) nataka kuanzia season ya 6 (Retribution) hadi ya mwisho season 10
Naomba links...
Ninakipaji cha kuimba na kutunga nyimbo za gospel, tatizo sina mfadhili wa kuniwezesha kurekodi,hivyo naomba mtu anishirikishe hata kwenye nyimbo yake ili niweze kujitangaza
Tumekuwa tukiisubir Spiderman- No way Home kwa hamu sana sasa ijumaa hiyo hapo mzigo umefika Ijumaa hii ni premiere, wana JF na wapenzi wa Marvel kiujumla tusikose maana hamna wakati mzuri wa...
Hawa jamaa walitamba sana kimuziki miaka ya 2005 pale mkoani Mbeya, waliwahi kurekodi nyimbo moja kwa MAJANI inayoitwa NIOKOENI. Kiongozi mkuu wa kundi hili alikuwa akiitwa Nabii Amos.
hivi wako...
American Top 40 (December 11, 2021)
===============================================
LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On
40 40 The Weeknd - Save Your Tears 01 [2 weeks @ #1] 49
39...
Katika muziki kuna miguso ya ajabu sana, yaani unaweza kusikiliza instrument(s) Fulani ukatekwa kabisa na kufanya uzidi kuupenda muziki husika. Hebu tutumie huu uzi kuzitaja hizo sehemu au...
Taarifa ya Msiba ilimfikia Watende kama taarifa ya kawaida isiyomuhusu ikitagazwa kupitia idhaa moja ya redio mjini Iringa wakati yeye akiwa ni mmoja wa abiria katika daladala moja likitokea eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.