Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jamani washika dau ni matumaini yangu kwamba nyote humu ndani mko sawa, Namba msaada jamani namna ya kupata sinema yenye jina : woman of steel ya America kusini , natanguliza shukurani kwa atakaye...
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Mbosso ametukosha sana jana Jamaa amekwiva aswaaa kwenye Live performance hakuna zaidi yake hapa Bongo atakaye mfikia kwenye live Performance, Nimeenjoy sana jana laki moja yangu haijaenda bure...
6 Reactions
17 Replies
869 Views
Niwatakie mapumziko yenye furaha na raha tele baada ya mchakamchaka wa wiki nzima....
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Nyota wa Tanzania Zuchu amedondosha wimbo mpya, "Kitu", uliojaa maneno ya ngono, kama vile Sukari. Diamond, Harmonize na wengine pia wanasifika kwa maneno ya ngono au nyimbo za kusifu pombe...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
baada ya kutoa movie nzuri sana ya avenger:endgame.. Kwa sasa tuisubirie Spiderman:far from home
0 Reactions
21 Replies
2K Views
1. SONY PICTURE ANIMATION 2. DISNEY PIXAR 3. DREAM WORKS 4. LIGHT CHASER ANIMATION STUDIO hawa ni wa chinese
4 Reactions
6 Replies
895 Views
Mary Christmas kwenu wapendwa leo tunasherekea siku ya kuzaliwa kwa yesu kristo alitukomboa katika kifo. Moja ya movie na series kali za mwaka huu Cast Falls: Ndani kuna mkongwe dolph na mtalaam...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
American Top 40 Top 40 Of 2021 (December 25, 2021) ============================================ Rank Artist-Title Peak (-active) Weeks at #1 (bold-italics) Weeks On (-active) 40 BTS - Dynamite 6...
3 Reactions
4 Replies
948 Views
Aje wadau, Tuchangamshane kwa kutambua lyrics za nyimbo mbali mbali, andika lyrics wadau wajaribu kuzitambua ni za wimbo gani kwa kutaja jina la wimbo, tukifeli unatusaidia kushare wimbo husika...
4 Reactions
105 Replies
6K Views
Frank M Lwakatare's Top 10 Best Songs 🎵 2021. 1. No Time To Sleep – Song 🎵 by Bobby Shmurda (2021) Ø Rap. This was Bobby’s first track just 6 months after coming out from jail. I really felt...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari ya maandalizi ya sikukuu ya christmass..Kama wewe ni mdau wa movie za kivita. Naomba walau weka list ya series zako tano za kivita hapa kali. Msaada. Tupia list hapo chini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Chief Judge Madam Rita alipokuwa akizungumza na washiriki wa shindano la Bongo Star Search (BSS) alisikika akitaja zawadi kwa washindi ambapo mshindi wa kwanza atakabidhiwa Tanzania shilingi...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa wale wa kishua tuwaite kipindi hicho ITV walikuwa wanaicheki hii series journey to the west .. Ilikuwa maarufu hii ilikuwa ni story ya kichina inayomuhusu master mmoja jina lake aliitwa...
20 Reactions
83 Replies
7K Views
Habari zenu wanna Jf Mi huwa nazisikiliza hizi Cry no more by Chriss brown Niache ya Diamond platnum Surrender ya Natalie Taylor Siwezi ya Baraka the prince Aljandro by Lady Gaga Karibu share...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Anaitwa kili -Paul Kili-Paul ni kijana mwenye asili ya kimasai Kutoka mkoani Pwani - lugoba nchini Tanzania. Amezaliwa lugoba mkoani pwani ambapo alianza elimu yake ya msingi mpaka kufikia darasa...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
JINA: Tabia. MWANDISHI: Chiamaro Mokiri. Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Imagine kuna sehem mtu anatamka wazi akitumia kinga inapunguza utam. Yani ni kama vile anahalalisha watu kutojikinga na ni hatari kabisa taifa la vijana likiishi kwa mitazamo hii. Kwanza wimbo...
3 Reactions
6 Replies
949 Views
Heshima wakuu. Jamani kama kuna mtu ana collection ya nyimbo za krismasi naomba atuwekee hapa!!
0 Reactions
65 Replies
38K Views
Appreciation thread kwa JIDE JAY DEE[emoji7] Ni msanii pekee ambaye amemudumu beef na redio pia vituo vya television bila uwepo wa mitandao (Instagram, Facebook, wala Twitter au Tiktok) na bila...
3 Reactions
3 Replies
985 Views
Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV. Jamaa hajafanya sana program za...
8 Reactions
53 Replies
10K Views
Back
Top Bottom