WASAP: 0754021538
Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina...
Katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, kumekuwa na mtindo wa wasanii wakitoa nyimbo zenye maudhui ya “kingono” kuvuma zaidi (kuhit) kuliko nyimbo zilizo na ujumbe wa aina nyingine. Mathalani...
Ni dhahiri sasa kwamba Sanaa ya Taifa letu inazidi kukua siku hadi siku na baadhi ya Watu waliokua wanadhani hii sanaa uhuni kama sio kubadilika basi hawapo tena.
Kwa hivi sasa imekua kawaida...
Haditi hii ni tafsiri ya hadithi inayoitwa The Pearl iliyoandikwa na John Steinbeck.
Unaweza kusoma hadithi hii na nyingine nyingi kwenye app yetu. huu uzi una maelezo zaidi...
Siku za hivi karibuni hawa wameanza kunifurahisha na vituko vyao nahisi ni waganda
Hapa kuna jack kijeba kuna mshikaji mmoja mwembamba huyu bwege mwehu sana huyu[emoji1787][emoji1787] alafu kuna...
Uzalo is a South African soap opera produced by Stained Glass Productions, which is co-owned by Kobedi "Pepsi" Pokane and Gugu Zuma-Ncube. It began airing in 2015, quickly becoming a hit due to...
VITA KALI INAYOENDELEA HOLLYWOOD
Ukifika pale Marekani, sehemu moja iitwayo Hollywood, utakutana na vita moja kali sana kwenye masuala ya filamu, hivi vita ni za makundi matatu, ila kundi moja...
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na...
Wakuu moja kwa moja kwenye hoja.
Kwa muda sasa Baraza la Samaa Tanzania limekuwa likifungia nyimbo za wasanii lakini kwa kiasi kikubwa zikiwa ni za wasanii wanaoiponda serikali au viongozi wake...
Hii beat hata ukiimba singeli watu hawasikilizi unachosema wanatambaa na beat tu[emoji41][emoji41].
Hii beat haijawahi kumtakaa mtu hata gospel uta-beng tu.
Producer na muimbaji wa kwanza...
Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa.
1. Mc Madevu...
Nawasalimu kwa JMT
Dalili ya mvua mawingu, Yanga yawabingwa ligi kuu 21/22 mapema tu hata mzunguko wa kwanza haujaisha[emoji23][emoji23][emoji23], Pia vikombe vyote chin yake atabeba. Bado...
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.