Mfalme wa muziki wa Taarab nchini na kimataifa Mzee yusuf ameamua kurudi kwenye mziki wa taarab baada ya kupumzika kwa takribani miaka 3.
Sasa ameachia nyimbo mpya kabisa ambayo mwimbaji ni Mke...
Nimeusikiliza na kutazama kazi mpya ya kings Ndombolo Kazi, nzuri ila Kiba kazi zenu mnafanya fanya tu ilimradi. Hii ngoma ni ya kuchezeka pale ilitakiwa mvunjike na hivyo viuno ngoma ni ya...
Mzuka wanajamvi!
Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight...
Nautafuta wimbo mmoja wa enzi hizo amabo una lyrics hizi "Waniwekea fitina ninyang'anywe gari langu, Fitina mbaya, wivu ni mbaya, acha fitina weee jirani we acha'.
Niko ndani ya club like
Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka
niko club, mi na honey, tuna'dance...
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa...
Habari za asubuhi guys..
Kuna huyu msanii almaarufu kama mirror nakumbuka miaka michache iliyopita kakimbiza sana na ngoma zake Kali na hata kwenye matamasha.
Baadhi ya ngoma zake Kali na...
Mimi si mfuatiliaji wa karibu sana wa muziki wa bolingo lakini huwaga kuna baadhi ya wanamuziki wa Kikongo (Franco, Tabu Ley, Madilu System, Nico, Kofi Olomide, etc) huwa nawazimia sana...
Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini?
Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako...
Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara
Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki...
Kuna story fulani kipindi fulani niliisoma iliitwa Muwa uliozamisha meli.. yule nahodha wa meli ile alipokuwa akisafiri na miwa mitamu akaamua aonje kidogo baada ya kuonja akanogewa akaanza kula...
Mwanzoni mwa mwaka huu Kiba alifanya interview na akatutaarifu mashabiki kuwa haitafika mwezi wa Sita. Kabla hajatoa album. Lakin Sasa hivi tunaelekea July.
Mambo kimya. Nini kimemsibu mfalme huyu?
Mwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.
2015...
Mwandishi: Nyemo Chilongani.
0718069269.
Sehemu ya 01
“I need to see his picture,” (Ninahitaji kuiona picha yake) alisikika mwanaume mmoja kwa hasira, aliongea kwa sauti ya juu kiasi kwamba kila...
Habari wadau!
Mimi sio mfiatiliaji sana wa muzik ila naukubali sana muzik hasa pale akili ikiwa imechoka naingia youtune kuchek video mpya ndan na nje ya nchi sasa kuna upuuzi nimegundua.
Yaan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.