Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA.
YouTube link 👇👇👇
Nimasaa nane na dk kadhaa tangu king wa bongo flavor yake aachie chupalake jipya alilo mshirikisha Rudeboy kutoka west-Africa [emoji1184]. Ndani ya huu mda wa masaa nane una viewers 500K+...
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee...
RURION KENSHIN THE FINAL(2021) ni moja kati ya movie zangu bora kwa mwaka hii ni kisanga sana ni mkono mwanzo mwisho.
Jamaa anaitwa kenshin himura alikuwa ni samurai na muuaji na mwalimu wa...
Mpira wa miguu ni moja ya burudani kubwa sana ulimwenguni.
Mpira wa miguu ni ajira bora kabisa kwa vijana wenye vipaji vya kusakata kabimbumbu sawasawa.
Mfano mzuri ni nchi za Amerika kusini...
Hili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka.
Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji...
Hawa wasanii naona hawapo serious.
Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6.
Huyu Alikiba nae Salute atleast audio...
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.
Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni...
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa...
NYEMO CHILONGANI
0718069269
Sehemu ya 01
Ndiyo ni mzuri!
Tena hasaaa!
Kwanza ni mweupe.
Ana mwili ulionyambulika.
Macho ya goroli, ya kurembua ambapo akiamua kukuangalia, basi tuseme umepata...
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz...
Habari za Leo wadau,
Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania.
Hivi...
Hii Tv show imekuwa created na Justin Roiland and Dan Harmon.
Ni kati ya zile animation bora binafsi naikubali yani haipiti week sijarudia hata episode 1, iko full package ni Dark, funny...
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza.
Angalia attachment...
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.
"The award show is an ode...
Habarini wana jamvi
Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO...
Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond.
Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake...
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.