Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi
Kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani. Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni...
Jana Jioni Baada ya Kuchoshwa na Kazi za Kaisari, niliingia You tube kutafuta nyimbo nilizokuwa nikizisikiliza.
Nikabahatika kumkumbuka Msanii mmoja toka Iringa akifahamika kama Mike T aka...
Leo 2/6/2021 msanii kutoka Label Ya Konde World Wide Music ameachia kibao chake kinachoitwa ROHO...
Unaweza kusikiliza kibao kupitia mitandao mbalimbali...
Kwa Maoni Yangu Dogo Its Great Song
Kama umeangalia angalia hizi movie nisaidie nijue ipi nzuri niitafute, naweza Google lakini ntakuwa sina uhakika kama itakuwa nzuri, nahitaji za dizaini ya troy, alexander, braveheart, 300...
Aisee! Huu wimbo Nibebe wa Kusah x Barnaba una mwaka sasa ila mimi ndio kwanza nimeusikia leo. Kuna wasanii wanajua kuimba ila hawana nyota. Mashairi mazuri, ujumbe mzuri wa mapenzi, sauti tamu...
Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop...
Wakuu habarini za leo.
Poleni na majukumu na sakata la BET. Wimbo ya kijana wa KONDEGANG ibra mnaichukuliaje
Naiona ni nyimbo moja hatari sana na ubunifu wa kutisha je nyie mnaichukuliaje?
Wale wapenzi wa Money heist season 5 imerejea. Mtandao na watayarishaji wa series hii wametangaza official date ya kutoka kwake.
Part 1 itatoka SEPTEMBA 3
Part 2 itatoka DESEMBA 3.
Tukae mkao wa...
Kama ww ni yule mpenzi wa Korean drama za family na comedy basi hii isikupite.
Drama hii imetok mwaka 2017 na ina ep 52.
Drama:FATHER IS STRANGE
Tv channel:KBS
Set:Korea
Year:2017
Episodes: 52...
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.
Nilipenda Wesley Snipes...
Niaje niaje.
Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki.
Karibu...
Habari,
Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu.
Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine...
Natumai wanajamvi hili wazima.
Naomba mwenye kujua majina ya movies zinazolezea masuala ya matukio ya dini za Kiislam na Kikristo..mfano maisha ya Nabii Ibrahim, safari ya Wana wa Israel kutoka...
kwa wale wapenzi na wafwatiaji wa movie ,hasa zinazohusisha mashindano ya magari kama mimi,huwezi kuwa umekosa kufwatia movies zenye mwendelezo za "fast and furious" zilizosheheni wababe kama the...
Leo nimekumbuka hii ngoma ilivuma Sana enzi zile wakati bado blackberry na apple ni matunda hayajawa simu.
Title ya wimbo ilitokana namsemu wa aliyekuwa raisi wa JMT awamu ya 3 Bwana Ben Mkapa...
Nimeipenda hii movie. Humu jamaa anaonekana kama mtu wa kawaida tu, familia na marafiki wanamchukulia poa. Kumbe alikuwa ni mbad na kaamua kutulia. Russian mafia walipoingilia familia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.