Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hii series nlianza ingalia Netflix season one. Bahati nzuri nlikuwa nmeisha idownload. Nikarudi kuendelea na nyingine nikakuta wameisha iondoa. Nikalazimika ku download kupitia torrents. Ni nzuri...
2 Reactions
0 Replies
767 Views
Kuna msanii anaibukia anaitwa Quanta Sage anaimba rap and he actually is giving this type of music the right thing. Jamaa kwa nilivyomfuatilia anatokea Mwanza na ameshatoa collabo kadhaa na ngoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
SEHEMU YA 01 SAA nane usiku jini Nargis aliamka na kukaa kitako akiliangalia tumbo lake lililokuwa kubwa na kubakiza siku chache za kujifungua, alilipapasa taratibu kwa kuzungusha mkono pembeni...
3 Reactions
76 Replies
61K Views
Kwa karne hii ya 20/21 wimbo huu wa Lucky Dube umefunika. Mwanangu P akikua na kuniambia anataka kuwa Rastafarian nitamsapoti, hii dini imejaa watu wasio na unafiki. These people are very clever.
6 Reactions
76 Replies
12K Views
Hii series ndio nimetoka kuimalizia ilitengenezwa 2018 na ni moja kati ya series bora sana. Imetengenezwa na JTBC huku ikipata wastani wa ratings 12.5% huku episode ya 20 ikiwa na ratings ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wadau !!! Jana usiku nilipata wasaha kuchek hii movie old guard aisee km ni swala la movie nasema sema wazungu wametuacha mbali sn kuanzia story ilivyotungwa camera actions na hata maongez...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kati ya Drake na Chris Brown linapokuja suala la hits. nani ana hits nyingi zaidi?(zile ngoma kalii)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
James alikuwa ndio kwanza amemaliza elimu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua kutoka kwao kijijini na kutembelea mjini ili angalau aone dunia invyokwenda, pia aliamini mjini...
1 Reactions
27 Replies
13K Views
Kuna kipindi nilikua bado sijakuwa mkubwa nilikuwa nikitazama TV asubuhi hasa ITV ndo nilikuwa naipenda sana home unakuta nyimbo flani zinarudiwa kila siku. Mtaji wa Maskini ya Banza Stone, Elimu...
1 Reactions
2 Replies
866 Views
Habari zenu wakubwa, kuna nyimbo ya kitambo kidogo nimeitafuta bila mafanikio mwenye nayo hebu share nami. ************************************************ Ngoma imepatikana hiyo wazee Jina la...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Salamu! Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
1 Reactions
151 Replies
18K Views
Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,leo jioni itakua siku nyingine chungu kwa mashabiki wa Simba SC,Kaizer anaenda kutoa kipigo kingine kama sio kinachofanana na kilichopita (4G) basi chini kidogo ya kipigo...
0 Reactions
5 Replies
929 Views
Hapa Tanzania/Bongo kuna watu wanakuwa maarufu kwa kipindi fulani(trend) kutokana na harakati zao za maisha kama vile muziki,fulani,sasa, vichekesho na kadhalika. Mitano michache ni marehemu Dr...
1 Reactions
1 Replies
810 Views
Habarini JF. Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana. Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Hivi ukichanganya Bongo Movie zote zilizowahi kutoka nchini kuna ambayo inaikaribia Filamu ya SARAFINA?
5 Reactions
80 Replies
14K Views
Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii. Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana. Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom