Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
South Africa siku hizi wanatrend na Amapiano Africa na dunia nzima hivi sisi tumeshindwa kuondoka na singeli kweli mpaka tunabaki ku copy vitu vya watu. Natoa changamoto kuboresha mziki huu na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiwa unaangalia series za kikorea za kihistoria kama JUMONG, SIX FLYING DRAGONS, EMPRESS KI au MR SUNSHINE kuna zile location za zamani ambazo huwa zinatumika. Kuanzia kwenye jumba la kifalme...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo kwenye likizoya Uchaguzi nchi za watu. Mpaka Tanzania uchaguzi upite ndo ntarudi. Nikiwa huku najikuta mara nyingi nataka niangalie TV series maana ndo ulevi wangu. Katka pita pita...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Video Mpya ya Kwake RAYVANNY Ft DIAMOND PLATNUMZ , Wimbo Unaitwa MWANZA BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD WIMBO HUU Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza PAKUA APP YETU HAPA ILI UWE WA KWANZA KUPOKEA...
1 Reactions
2 Replies
34K Views
Hii mwenyewe anaita DJ JD Getwell soon sessions. Great mix, crazy playlist [emoji119]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kusema ukweli director amejitahidi kutoa story nzuri sana. Ila amemkosea flash(amemueditia upuuzi) Ila hii movie wameipatia haswa. Wasingemuua stephen wolf hii movie ndo isingekuwa na story. Hii...
1 Reactions
10 Replies
997 Views
Ni mwanzo kabisa wa Mwezi Mei.. Kheri ya siku ya wafanyakazi. Mei Mosi. Hii [emoji1484]ni list ya movies [emoji327][emoji897]zitakazotoka kuanzia mwezi huu mpaka mwisho wa mwaka. MAY -Black...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kuna kipindi ninakisikiliza kinaitwa The Classic mtangazaji ni Jabir Salehe. Aisee jamaa anatisha mnoo, kupitia E fm kila jumamosi
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dj Khalid baada ya kufanya vizuri na Album yake ya father of Asad. Sasa amerudi kivingine. Amerudi na Album ya Khalid Khalid itakayo achiwa hivi karibu. Track gani unahisi itakuwa moto zaidi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
"Ana dela jipya chupi ya zamani"... nyimbo kama hii ya Miss Buza inafundisha nini jamii na nyie mmeruhusu ipigwe? Badilisheni jina kutoka BASATA muitwe BANGOTA
1 Reactions
13 Replies
843 Views
Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Ezekiel Kiongo amesema kumrushia mtu wimbo bila idhini ya mwenye nao ni kosa hata kama huuzi. Amesema ni kosa kurusha kazi ya mtu mwingine bila kibali...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao. Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?
2 Reactions
43 Replies
5K Views
WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨 Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama...
0 Reactions
4 Replies
797 Views
Katika harakati za kutafuta maisha, mwishoni mwa miaka ya 90, niliamua kuondoka nyumbani na kuzamia bila passport wala ela ya kutosha. Lengo lilikuwa kufika Italy au Spain kwa maana maisha ya...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Simulizi : MALAIKA WA SHETANI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 LANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake...
2 Reactions
78 Replies
13K Views
Back
Top Bottom