Naomba kuuliza kati ya mpira wa miguu na muziki, ni kipi chenye mashabiki wengi, ni vizur ukiweka na sababu ya kusema hivyo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari wanaJF
Mimi ni actor chipukizi wa bongo action movie na kutokana na sanaa kushuka nimeona tuje kivingine tena kutokana pia na movie kukosa ubunifu na kila siku movie za mapenzi na uchawi...
Enter the fat dragon (donnie yen)
Mortal kombat 2021 rate 7/10
The little thing (David Washingtong) 8/10
The marksman (liam nelson huyu mzee kiboko alohoo ) rate 9/10.
Black widow rare 7/10
Out...
Ushawahi kuangalia series ya kikorea alafu ndani yake ukaona brands mbalimbali kama Subway, Samsung, KIA au hata Lipstick?
Usichanganye, sio kwamba ni bahati mbaya La hasha! ile ni makusudi na ni...
Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee
Mmoja anaingia mmoja anatoka
Huyu kazi...
Wimbo wa Binadamu Ndanda Kosovo. anaimba sasa wanaanza kulia ooh nuhu,,ooh nuhu tufungulie safina
Wimbo wa marafiki - nadhani ameimba mao santiago - anasema marafiki wote wamenikimbia mimi upendo...
VERSE 1: Mangwea
Mami nakuona umekula pozi,
Mbona unaonesha kama umejawa na majonzi,
Nieleze kipi hasa kinachokuumiza kichwa, Mtoto mwenye uzuri kama hazina iliyofichwa,
Mwenye raha zote fedha...
DEMETRIUS PONERA NI MOJA KATI YA VICHWA NAVOVIELEWA SANA KTK GAME HI YA HIPHOP...NA HUEZ AMIN NIMEMFAHAM KUPITIA TRACK 1 YA #matrix mkono wa duke nadhan...
UNAEZA PITIA KAZI ZAKE UKAKUBALIANA NA MIMI
Najua wengi mtakuwa mnaijua series hii hivi ni vitu 10 usivyovijua kuhusu series hii :
1. Kulingana na IMDB series hiyo ilitengenezwa kwa budget ya taktibani Won Bil 30 ambazo ni takribani Bil 60...
Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa...
Habari wakuu,
Katika tasnia ya filamu binafsi ni mpenzi wa movie za kivita kimombo wanaita WAR MOVIES na hizi ni baadhi ya movie zangu TANO kali za kivita.
1- Lone survivor
2- Windtalkers by...
Huyu msanii wa nyimbo za injili sikuwahi kumfahamu.....lakini kutokana na mazoea nowdays kutune Praise Power FM kila asubuhi mwendesha kipindi kwa siku za karibuni amekuwa akipiga nyimbo moja kali...
Simulizi : NOTI BANDIA
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na : BURE SERIES
SEHEMU YA 1
JIJI la Dar es Salaam linatingishika, wezi sugu wanaingiza noti bandia, watu wanaibiwa. Baadhi...
Hello there....👋👋
Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care.
Hua napenda series na muvi...
Habari zenu wakuu.
Kabla ya kufanya research kama kuna kitu kilikuwa kinanichanganya wakati naangalia series za Korea ni hizi kingdoms.
Unakuta series hii wameigiza kipindi cha GORYEO , nyingine...
Kimeandikwa na: H.G.Wells, 1904
Kimetafsiriwa na: Pictuss
Email: Pictuspublishers@gmail.com.
Pictuss2021.
Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza kunakiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.