Arnold Schwarzenegger, John Matrix
starring mwenyewe...jeshi la mtu mmoja..baba jenny..anorld, umri umekimbia aisee ila bado ni legendary Icon
Rae Dawn Chong, Cindy
mwanadada aliyemsaidia...
Habari wakuu
Poleni na majukumu ya kujenga taifa
Kuna TAMASHA (Event) ninaandaa, na kuwezesha TAMASHA hili kuwa bora kama ninavyotarajia nilikua nahitaji kuomba UDHAMINI kutoka MAKAMPUNI...
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA...
Africa imenyamaza,Macho na akili zinautazama mziki wa Yemi Alade na Tiwa Savage kama Makwin wa mziki wa Afrika..
Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa???
Kuna...
Harmonize amewatumia mtoto(paula) na mama(kajala) kutrend,haiwezekani msanii kama harmonize eti atume uchi wake mtandaoni akijua kua lolote laweza tokea picha hizo zikavuja.
Zilizovuja ni meseji...
Habari, wapendwa. Uandishi wa riwaya na simulizi ni kazi ngumu na nyepesi kwa wakati mmoja! Ngumu kama mwandishi anatazamwaa na rundo la karatasi nyeupe huku akiwa na kalamu bila uhakika anaanzia...
Kiukweli tuache utani mbona naona kama huu wimbo unamashairi mazuri ama kwa kuwa si mchambuzi wa mziki
@Ommydimpoz ulikomaa sio mhezo
Oh cherie
Usione nachelewa
Mwenzako nafanya mipango
Tupate...
Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki?
Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii...
A Grain of Wheat ni riwaya ya tatu na riwaya iliyojulikana zaidi ya Ngugi wa Thiong'o, mwandishi kutoka Kenya .Riwaya hii huchanganya hadithi kadhaa pamoja katika hali ya dharura nchini Kenya...
Nimeipenda hii movie. Inafaa kupotezea wakati. Ila sijapenda Kong kupewa kipigo cha hadi kukaribia kufa kutika kwa Godzilla. Nilifurahi kichapo walichopewa Godzilla na Kong kutika kwa...
Ni burdan kwa kweli kusikiliza vipindi kuanzia Joto la Asubuhi mpaka Sports Hq.
Wameamua kucheza musiki wa zamani kama kukupoza hivi, yaani raha isokuwa na maelezo. Najua pana wapiga chabo...
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.
Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.
Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye...
Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965.
Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange...
Naangalia hapa zaidi ya mara tano kila moja
Guys wenzetu wapo mbali sana sana
Hizi ni mfululizo wa movie zinazomuhusu captain Jack sparrow
zipo tano
kinachonivutia walioandika script hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.