Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kama title inavojieleza ningependa hii thread iweze kutusaidia kupata majina ya movie mbali mbali ambazo tumewai kuangalia, kusikia au kusimuliwa afu ukasahau au kushindwa kujua jina movie husika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SISI TULIWAAMBIA, MKATUPUUZIA Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unabishana na watu mtaani kwako kuhusu Diamond na Ali Kiba nani mkali? Sijui nani ana tuzo nyingi? Sijui nani amefanya hivi na...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Leo nmetulia siku nzima naisikiliza hii ngoma ya nenga aka mafioso. Hii ngoma ni kalia sana jamaa kaimba kwa hisia sana[emoji91][emoji119] “Twende na mashairi” Sio, sio kwamba mi nina wivu...
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Naangalia kipindi cha ultimate survival kwenye channel 136 Family discovery HD inaonyesha jamaa anavyosurvive kwenye nyika za Africa imefika mahali jamaa kakuta mzoga wa pundamilia katoa kisu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama unataka kuwa jasusi moja matata huna budi kuifutilia season ya SOZ Bonge ya season mzee nawashauri maafisa usalama wawe wanapata muda w a kufuatlia muvi kama hizi very relevant to the...
2 Reactions
11 Replies
772 Views
Kuna watu wanapendezea mziki kwakweli. Tuache ushabiki wa kizuchu Kikonde gang Kikiba Au mondi Ukweli Leo supa musician ni PR J . Utaniambia nini!? Ninaushahidi kama taulo la guest! Eti wewe...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wadau Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Kwanini isianzishwe hapa Bongo Channel itakayokua inaonyesha Movie za action tu za kimataifa 24 hrs kwa quality ya HD? Iwe ni channel inayoonyesha movie kali za actions tu movie zinazofanya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwanamuziki King Giovann aliyewahi kupitia bendi kadhaa kama FM academia na Chuchu sound amefariki dunia. King alikuwa mahili katika ucharazaji wa gitaa la solo amefariki ghafra muda mfupi...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
RIWAYA; KUTA ZA DARFUR. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0656741439/0758573660. 1: Alikuwa akikatiza katikati ya mitaa ya jiji la Dar Es laam akiwa amening'iniza mfuko...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimesikiliza nyimbo za maombolezo za msiba wa John Pombe Magufuli zaidi ya 100 Msanii wa pekee alieweza tengeneza HIT ni PETER MSECHU. Katoa melody (ala) ya pekee na mashairi safi yanafariji...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimeuanzisha huu uzi tushee changamoto ambazo mnakutana nazo katika hii channel ya Netflix lakini pia najua wengi wenu mngependa kujiunga na Netflix Ila hamna hela ya bandle. Sasa nimewaletea...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Simulizi : ZAWADI YA USHINDI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 SHANGWE na vigelegele ambavyo viliutoka umati huu mkubwa vilipaa hewani na kujaza anga lote...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
TITLE: RIPOTI YA MKAGUZI. SEHEMU YA KWANZA. NDANI-OFISI YA MZEE WOTA. Mzee Wota, Bwana wa miaka 60 hivi, ameketi akiwa makini akisoma kilichopo kwenye Lap top, huku akibofya keyboard ya Lap top...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
habarini wanajamvi! poleni na misuko suko moja kwa mojaa kuna wimbo nimeshindwaa kupata jina au lyrics yake, umeimbwa na msaani kutoka mwanzaa. baadhi ya lyrics zake, "jitunze mke wangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kevin De Bruyne amemaliza dili la kusaini mkataba wake mpya wa kuendelea kubaki katika kikosi cha Manchester City chini ya kocha Pep Guardiola ambapo mkataba wake ameongeza hadi ifikapo April 2025
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Upepo wa vuma twainama Twainama hatuvunjiki Mwalimu akisema ye hasikii Mwenye nyimbo hii na Hadithi yake atupie hapa. Jogoo wa ajabu.. Machaku na njiwa... Sungura na fisi Sitaki mbichi hizi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisikiliza biti ni ileile tofauti ni sauti moja ya kike nyingine ya kiume.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom