Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mpaka sasa toka asubuhi nacheki hii movie lost nipo ep ya 88 sijala na wala sisikii njaa ,... Bonge LA season
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama mada tajwa isemavyo....ni Ngoma gani zilikubamba Sana zamani kipindi hiko music ulikua music kweli, binafsi me nakumbuka Ngoma moja la daz nundaz Barua, Mandojo&Domokaya Dingi, Dully Sykes...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Artist: DJ Snake & Selena Gomez Title: Selfish Love Genre: Pop Label: DJ Snake Music Productions Limited/Interscope Records Year: 2021 Nadie tiene que decírmelo Hablas con otra que no soy yo Y...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata movie hii ya blacksheep affairs au kwa jina lingine inaitwa another meltdown please naomba anipe au anipe muongozo nitaipataje app nyingi hii movie haipo...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Wakuu heshima popote mlipo. Naomba mwenye kujua link ya kuipata hii movie. Naitafuta sana angalau nipozee machungu ya kuondokewa na mr prezidaaaa. RIP JPM
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Ukiachilia mbali nyimbo nyingi za maombolezo katika kipindi cha misiba pia nyimbo za faraja na kujenga tumaini jipya ambazo umezisikiliza. Embu jaribu na hii ya DIZASTA VINA - MWANAJUA ALAFU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wale wahenga njooni huku Kumenoga
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau nataka kujua wale tunaofuatlia mziki wa bongo fleva kuanzia miaka 2010 kurud nyuma ni wimbo gan ulioupenda na uliimbwa na msanii gani ambao hauchuji masikion mwako hadi saiz unaukubali ile...
2 Reactions
103 Replies
9K Views
Kwa tukio kubwa kama hili kuwa na ukimya kama huu kisanaa, hasa kwa nyimbo bora za maombolezo, Pengo aliloliacha Marehemu John Komba inaonekana kabisa halijazibika
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama 1. Jamiiforums Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye mada husika Nimebahatika kuangalia vipindi kadhaa vya hii tamthilia ya slay queen ndani ya Maisha magic na nimeshangazwa sana na ukosefu wa umakini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Haka kajamaa na crew yake very funny Sana , wakenya kwenye Commedy wametuzidi tuwe Tu wa kweli. Huyu jamaa page yake ya insta ukipitia inakuondolea stress aisee. Wabongo now sio wabunifu kabisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeusikiliza huu wimbo aisee kijana ameimba kwa hisia saaana.. inawezekana ukawa ndio wimbo unaoamsha sana hisia kuliko zote kwenye nyimbo za maombolezo ya msiba wa raisi wetu Magufuli. Kuanzia...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba mwenye hii Series anisaidie nahitaji kuitazama
0 Reactions
30 Replies
5K Views
TIPWATIPWA TETEMA... OOH TETEMA!- 1 MTUNZI: HASHIM AZIZ Hashpower7113 MWANZO Sauti ya jogoo aliyekuwa anawika kuashiria mapambazuko ndiyo iliyonizindua kutoka kwenye usingizi mzito. Nilifumbua...
3 Reactions
121 Replies
28K Views
THAMANI YA MTU MWEMA, HUNG’ARA AKISHALALA! Tenda wema nenda zako, msemo tangia enzi, Timiza wajibu wako, kwa watu na kwa Mwenyezi, Iache alama yako, kwa kizazi na vizazi, Thamani ya mtu mwema...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi...
23 Reactions
205 Replies
16K Views
Kendrick Lamar amezaliwa 17 /6/ 1987 Lamar alianza kazi yake ya muziki akiwa kijana alikuwa hakifahamika kama K-Dot. • Kendrick Lamar ni miongoni mwa rapa wafupi zaidi katika Hip-Hop, anaurefu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda sasa imekuwa nilitafakari sana kuhusu hizi tamthilia za kihindi na za kichina zilizotafsiriwa kwa kiswahili. Kwakweli zimepa mashabiki wengi sana hapa nchini kwetu. Tamthilia hizi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom