Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA. Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA. Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Hawa wasanii wa trending lazima wajue hzo nyimbo wanazotoa sasa hivi kutokana na maudhui yake ni kwa siku 21 tuh za maombolezo, Inabidi wajifunze kwa wakongwe sio linapotokea tukio tu unawahi...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
KISA : SITASAHAU (KISA CHA KWELI) KISA HIKI KIMEKAMILIKA KIMEANDIKWA NA : NIHZRATH NTANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Kwa kumbukumbu ya wazazi wangu. "Wakati mikono yangu haiwezi tena...
1 Reactions
9 Replies
21K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Cassian alikuwa kimya, macho yake yalikuwa yakiangalia baharini huku mawazo yake yakiwa mbali...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wakuu Tukiwa katika wakati huu wa majonzi naomba mwenye nyimbo hizi mbili za kwaya ya vijana Mabibo(Original version)anitumie. 1-Mwanga wako Bwana uniangazie 2-Sifai mbele za Bwana(Kama...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku hizi naweza kukaa siku nzima nasikiliza muziki kutoka Afrika bila kuchanganya na ile kutoka Ulaya na Marekani. Viwango vimeanza kuwa vizuri sana huku kwetu Afrika kiasi kwamba Muziki wetu...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Simulizi : FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 1 “"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
MTOTO WA MAAJABU: 1 Mariam alikuwa na mawazo sana kutokana na ile mimba aliyobeba kupitiliza muda wa kawaida wa kujifungua yaani miezi tisa kwani kwasasa mimba yake ilifikisha miezi ishirini na...
1 Reactions
48 Replies
39K Views
HEMU YA KWANZA RIWAYA: MPANGO WA KANDO NA: George Iron Mosenya.. KADRI karandinga lilivyokuwa linazidi kushika kasi ndivyo akili yake nayo ikazidi kuamini kuwa hakuwa katika ndoto tena bali ni...
9 Reactions
69 Replies
35K Views
Habari ndugu zangu Poleni na msiba Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe iko inaonyeshwa Azam two Sasa Mimi kuifatilia vile naona kuchelewa nimeitafuta YouTube nimekuta matangazo yake tu km Ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupia jina la ngoma kali za mbele ambazo kila ukisikiliza huwezi kuchoka ili tupate playlist hapa. Naanza mimi. Chris Brown__Loyality Enrique Iglesias_Bailando Wizkid_Daddy yo Didy_Coming home...
10 Reactions
111 Replies
12K Views
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao. Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director...
7 Reactions
147 Replies
17K Views
Habari za leo wakuu, Katika cover zote ambazo nimewahi kuzisikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mkatoliki. Kuna kwaya huwa inanikosha sana hapa Tanzania. Ni kwaya ya mtakatifu kizito parokia ya mtakatifu mwenye heri anuarite iliyoko makuburi Dar es salaam. Kwa kweli ni kwaya ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo. 1. ECOLE 2. ALLO TELEPHONE.. Hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kionjo.. ...... USIKU WA MANANE AMBONI TANGA Eneo la miamba yenye mapango ya kihistoria jijini Tanga jirani kabisa na mto mkubwa Tanga nzima uitwao mto Sigi kulikuwa kuna kundi la...
2 Reactions
44 Replies
20K Views
1 Hades Awaits,Heaven Awaits,The Choice is made, Oh heaven and hades,make peace with each other For the choices to make are complex The losses immerse 2 Hades Awaits,Heaven Awaits-The Choice is...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiangalia picha za TBC ni kama picha zaoni kati ya 144p au 360p je ni kwanini picha zenu siyo HD kuendana na technologia ya sasa!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaaam wakuu, Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto. Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa...
24 Reactions
125 Replies
12K Views
Back
Top Bottom