Wadau, napenda tushirikishane nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world. Nyimbo ambayo ukiisikia moyo wako unafarijika sana, hata kama una hasira...
Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si...
Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma...
Awiii Uwiii Awoo! ni vilio kila kona.
Viiana, wazee nao, alo salama hakuna,
Nchi ni maombolezo, mazikoni twapishana.
Tumwendee Mungu Baba, yeye ni mwenye rehema.
Awali tunakumbuka, virusi...
MZIMU ULIOREJEA.
Sehemu ya 01.
Sayid Mwenny.
Upepo mkali ulivuma ulioambatana na radi sambamba na mvua kubwa iliyonyesha kwa hasira katikati ya Mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Angani...
Ahlamalik Williams has been spotted with 61-year-old Madonna several times in recent months, including one occasion when she twerked in his lap - fuelling rumours that they are a couple.
On...
Kiukweli mimi sikuwa mfuatiliji sana wa hizi tamthilia ila hii tamthilia imenifanya nisikose kutizama TV saa tatu usiku.
Na aliyeweka sauti ya mzee Aga ndio kafanya niipende zaidi maana anampatia...
Muziki mzuri unaanzia Studio ambako recording & mixing hufanyila kisha mazishi hufanyika kwenye music system yako hapo nyumbani, bar au kwenye gari.
Utajuaje kama unamiliki mziki wenye akili...
Habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa huu msemo uende moja kwa moja kwa Sauti Sol kwa kazi bora wanazoachia maana wana consistency nzuri ku-maintain ubora wao.
Kwa sasa kuanzia...
Mara nyingi ninapo kaa chini, na kutafakari safari nzima ya maisha yangu,
kule Mungu alikonitoa, mpaka hapa aliponifikisha, naishiwa maneno ya kumshukuru.
Ndio maana hata sasa ninasema ya kwamba...
Hypochondria Syndrome ..huu ni ugonjwa kwa kua na hofu ya kua mgonjwa !..
Huumwi lakini muda wote unakaa unaamini unadalili za kuumwa ,,ni kama vile uambiwe ni msimu wa tetekuanga na hujawahi...
Hivi kuna mwanamuziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits?
Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown (kwa wale wanaoimba)?
Najua mjini Hapa hamuwezi kushindwa kunipa maelekezo kuhusu nitakapopatia sticker sijui ndo niziite wallpaper zote na za wasanii kabisa na ikibidi na za wachezaji nibandike kwenye ukuta sehemu ya...
Afro Ngoma Band Neema by DDC Mlimani Park
Wamefanya burudani kali kwa kuenzi nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania kama ule wimbo wa Orchestra Mlimani Park kwa jina ''Neema'' , hebu tizama video...
Babes.....
I know we are old enough not to celebrate, but with you I don’t wait for the Valentine Day....
The smiles you always draw on my face is the memory and best gift ever received from you...
USIKU WA JANUARI 20, 2005
SIMULIZI YA KWELI
INNOCENT A. NDAYANSE
KUNA MATUKIO MBALIMBALI YA KUFURAHISHA, KUSIKITISHA NA HATA YA KUTISHA YATOKEAYO KILA SIKU DUNIANI. KATIKA SIMULIZI HII...
Habari wana JF,
Nimekua nikishangazwa kwa nchi yetu ya Tanzania kuangalia maudhui ya saana ya Kitanzania kwa lengo la kulinda maadili ya taifa hata heshima ya ndani na nje ya Tanzania.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.