Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq...
ANGALIZO kwa Msanii MARIO.
MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai...
Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na...
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki.
Ameeandika vitabu vinavyo husu...
Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli.
Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza...
Annex 3
LOST BOB MARLEY ALBUMS 1972-1980
Although it is an interesting field of study, how Bob Marley developed the songs while recording a couple of different demos with alternate vocals, there...
Heshima mbele wakuu. Kuna huu wimbo nilikuwa nikiusikia sana mwanzoni mwa miaka ya tisini. Chorus ya wimbo ilisema " Naona bora niende Zambia nikamtafute Monica, alinitoroka...
Mfano
Sweete reggae --Busy signal-come over
Hip hop--coolio-i see you when u get tgere
Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine
Country-kenny rogers-gamble
Rnb-chris brown-with you
Morden...
SURA YA KWANZA
Makaburi ya mashujaa wa vita vya dunia, Kijijini Mahiwa, Lindi.
Kadamnasi ya watu walikuwa wamekusanyika wakiwa wamejikunyata vikundi vikundi. Nyuso zao zimegubikwa na majonzi na...
Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao.
Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi...
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
A PLACE WITH NO NAME.
(Sehemu isiyo na Jina)
SEHEMU YA (1)
Mtunzi........hemed mayugu
UTANGULIZI.
Ni Hadithi nzuri iliyoandikwa na Jumanne katika
kitabu chake alichokitoa mwishoni mwa mwaka wa...
Wale wapenzi wa rock na sio geni kwenu maana kuna nyimbo zinaeleza kuabudu shetani,mpaka kujiua au kufanya lolote, tokea rock kuwa na wapenzi sana.
Kwa nini rock imekuwa kama jicho la tatu au...
Sauti yake ni nzuri inafit vilivyo ndie mshiriki na mshindi wa BSS ninaemuelewa vilivyo kwa uwezo wake wa kuimba!. Sio kwamba wengine hawajui no,wanajua lakini huyu kwangu ndo best till now.
BSS...
Leo ni fainali ya Bongo star search.
Washiriki sita watachuana ili kupatikana mshindi. Washiriki hao ni:
1. Yusuph
2. Magaritha
3. Elisha
4. Petro
5. Neema
6. Zanael
Je, unahisi nani atakuwa...
Habarini wandugu.
Naomba msaada wa mtu kuniorodheshea zile nyimbo kalii zinazo Bamba clubs/sehemu zinazo amsha amsha ziwe za kibongo,afrika,au nchi yeyote ile....
Ahsanten, Karibuni Wana jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.