Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sababu Kuu ya Ziwa hili Kuwa na Ndege wengi sana Aina ya Flamingo ni Kwasababu Katika Ziwa hili Kunapatikana Bakteria Wengi sana Wanaozaliana na Hii ni Kutokana na Ziwa Hilo kuwa na Chumvi Nyingi...
13 Reactions
18 Replies
8K Views
Habari wakuu? Watu wengi wamekuwa wakiangaika mahali ambapo wanaweza kupata nyimbo ambazo hawatachoka kusikiliza. Hii hapa ni orodha ya nyimbo zote nzuri za misimu tajwa. Orodha bora ya mziki...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hallow Mimi ni Muimbaji wa nyimbo za injili, nimejiuliza hill swali kwann sisi hatufanyi matamasha makubwa kama tunavyoona wenzetu wakifanya? Shida ni nini? Maana najua tupo waimbaji wengi ambao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna maswali najiuliza kwenye hii professional wrestling ambayo wanasema sio ya kweli bali ni show kwa ajili ya entertainment hivi wa nafanya katika haya: -zile ngumi, mateka vinavyopigwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mimi nashangaa kwamba kila tamthilia au movie ni lazima wawepo Yaani ni pete na kidole Nashindwa kujua ni kwanini kila tamthilia wawepo au ndo masharti ya waganga wa huko ufilipino Mfano huyu...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Wakuu leo ilikuwa bonanza watanzania wanaotumia twitter yaani Tanzanians on Twitter. Nilifanikiwa kuhudhuria na kujifunza mambo kadha wa kadha. Kubwa katika hili Bonanza ni kuimarisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Chombezo: MZEE WA DODO Sehemu: 01 Mtunzi: Ally Mbetu SIMU: 0713646500 Tumu aliingia chumbani kwake akiwa na hamu na mkewe baada ya kutoka kuoga pamoja na yeye kumwacha akijipaka mafuta na...
3 Reactions
32 Replies
15K Views
NINA STAHILI LAWAMA. Na. Robert Heriel. Maandishi ya Robert Heriel, Kwa Lugha ya kiswahili Kila kitu nilikiona cha muhimu. Hata yale niliyokuwa ninayachukulia kama mambo ya kawaida nilianza...
2 Reactions
0 Replies
640 Views
Naleta mashtaka kwako baba Paroko, naleta mashtaka kwenu kanisani, mimi na mama ya watoto nyumbani kivumbi na jasho. Nyumbani hapaliki wala hapalaliki, kisa na mkasa Paroko sielewi Ni wiki ya...
2 Reactions
21 Replies
17K Views
Habarini Jf members, Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha. Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni: 1:Mke wa Rais 2:Peniela(story ya kijasusi)...
2 Reactions
115 Replies
20K Views
Sizungumzii Hiphop ya Tanzania bali nazungumzia hip hop ya Marekani. Huu mziki asilimia 90 ya nyimbo ni matusi, kuuana, ngono, visasi, madawa , majigambo, ujambazi n.k. Kiufupi ngoma nyingi za...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Wangapi wamesikiliza ujio mpya wa Wizkid StarBoy. Ameachia ngoma yake mpya akimshirikisha mwana dada H.E R kutokea Marekani. Wizkid ft H.E.R Smile. Ngoma hii inapatikana kwenye Album ya Wizkid...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua wachache wanamjua mtaalmu huyu hasa kwenye filamu za mapigano na ule unene wake lakini anapiga kung fu shida, kacheza na mastaa wengi nao movie tofauti kama Jacky Chan, Bluce Lee, Donny Yen...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Unaweza kudhani picha hii ina Maudhui ya Ngono lakini sio, Picha hii ni alama ya kitu ambacho kwa sasa kinaitwa "Roman Charity" Ilianzaje Roman Charity? Hapo zamani katika roma ya kale (Acient...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Uchina ya kale (Acient China) aliishi mzee mmoja mwenye busara sana, umaarufu wake ulivuka mipaka ya falme jirani na maeneo mengine mengi. Watu walitoka maeneo ya mbali kuja kupata busara...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi. Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement. Unaweza...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom