Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sorry, Ni maoni yangu binafsi. Huu wimbo walioutoa rayvanny na diamond wakuitwa amaboko it's very ordinary song na Kwa wale wanaofahamu mambo ya midundo (beats) watakubaliana nami kwamba huu...
11 Reactions
173 Replies
11K Views
Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee. Niende moja kwa mmoja...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hello JF, Napenda kujua hao kwenye video wanaocheza nimeona video nyingi wakicheza kama hivyo… swali ni kitu unachoweza kujifunza(learning) ama ni kitu unazaliwa nacho? (genetic)?? heheheeeheheheh
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeamini wabongo wanajua kutengeneza Kiki. Mwanzoni tuliaminishwa kabisa kwamba Mawenge na Unju wapo kwenye beef Kali kumbe hamna lolote na check sasa wanakuja kukutana kwenye ngoma yao na Wana...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za Mida hii Wapendwa Katika Bwana, Natumaini Hamjambo Wakuu Naomba kujua hizo Movie pendwa nilizozitaja hapo juu, Zina uzuri kiasi gani? Kama mmoja wapo ama wewe ushaziona uniambie kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa nam-zoom The Legend. Undertaker ghafla nikapata Idea ya kufanya kitu.. Wajuba.. Mnaonaje tukiji- organize watu km 5 na kuendelea ila wasizd10 tukaifanyia maajabu ile Instrumental ya...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
√SERIES TYRANT -S02 cont. TEEN WOLF -S05 cont. STRIKE BACK -S5 Finale DOMINION -S2 cont. UNDER THE DOME -S03 cont. EMPIRE -S02 23 sept. 2015 √MOVIES TERMINATOR THE GENISISY AVENGERS...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Kulikua kuna uzi wa nyimbo za zamani za Bongo Fleva. Kama kuna mtu anaweza ni quote nitashukuru. Natafuta nyimbo hizi hapa 1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti 2. P funky ft Dully Sykes-...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Miongoni mwa ujio niliokuwa nikiusubiri kwa muda mrefu ni ujio wa mfalme Mzee Yusuph na malkia Leyla Rashid maana tangu wakae mbali na muziki wa taarabu , muziki huo uliyumba na kupoteza radha kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nyimbo ya Amaboko imeshawekwa YouTube na Views Wanazidi kupanda tu, Nami najiandaa hapa nikanunue Shuka la kimasai nivae Kama Laizer vile,😂
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau hebu huu uzi tukumbushane bendi na nyimbo za zamani mimi.naanza na.Ngarula karubandika usimchezee chatu.kata.maji ukweni hizi maquise de zaire Mesenja kaleta balaa hii bima lee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Accapela from Don Nalimison.
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Habarini wapenda misifa , Kwema huko ? Oya asubui hii nimetoka kula morning glory sasa wakati na perform morning glory ebana hehe , Nimepata wazo moja sijui jamaa anaweza lipata kweli Wazo ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtoto wa Baba Paroko : SEHEMU YA KWANZA Erick Amuona Lucia Kwa Mara Ya kwanza “Amani ya Kristu iwe nawe” “Iwe nawe pia” walikuwa ni Eric na Lucia wakipeana mikono ya amani katikati ya ibada ya...
10 Reactions
241 Replies
60K Views
When I was a Gospel Singer in 2014 I delivered an Albam "Agano Jipya" with my former name "Mwl. Deo Kisandu". Now I become aware that Jesus Christ is not God and I introduced new religion(ANGELISH...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KUHUSU MOYO WAKO BY: Mfalme Hadithi Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional) Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti. (1) UKIWA NA...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01 Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom