Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Leo nimeona nije tufahamishane juu ya maproducer wetu wa Tanzania Nani mkali ni nyimbo gani a lido site genes a ukazipenda bila kujali zilikua hot au lah! Mimi producer wangu wa muda wote nampa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtunzi: R. Michaelray JF member Mapaa ya nyumba yanaonekana. Mchukua kamera ambaye yupo kwenye ndege anaendela kufanya kazi yake vyema. Moja kwa moja Picha inaonyesha Benki Fulani ambayo watu...
1 Reactions
10 Replies
84K Views
Sijui alikuwa na lengo gani huyu mwamba, au lengo ilikuwa kumpoteza kabisa bwa mdogo chibu! Na kwa kweli alifanikiwa.
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Najua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.👹👹👹 Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye 👽👽👽 Pia ni King of...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Samahani HII SMS INA HADITHI MAFUNDISHO KWAAJILI YA JAMII MNISAMEE KAMA ITA WAKWAZA KWA UFUPI *PALE MAITI INAPOKUWA NI BORA KULIKO MGONJWA* Mazungumzo baina ya Mabwana Sambi na Sembela ambao ni...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Sisifii siffii na sipendi mm ni mkazi jiji DSM. Hupenda kutoka mtoko Kama kawaida ya Sana ukiwa DSM. Nimetembea nimelala,nimezunguka miji hakuna pub kama hii. Kiukweli DJ ndio ananisuuza zaidi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
By Sangu Joseph Njia ya kuanguka kimuziki ya Vanessa Mdee nadhani inafaa kuwa fundisho Sana kwa Wasanii wakike nchini lakini Kwa Leo naomba niidedicate Kwa Nandy zaidi. Inawezekana mkaniona wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtafika mbali sana kimataifa Kama mtaukumbatia na kuwekeza zaidi huku kuliko kwenye Hip Hop na mingine ya kigeni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko namsikiliza Diva, story zote anatoa hapa hapa JF, kumbe JF ni Jukwaa la Great Thinkers. Kongole kwa waanzilishi na wana JF wote
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Umuofia kwenu, Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off". Binafsi wimbo as Dogo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa shabiki wa mwimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Bahati Bukuku, lakini sijawahi kukubali collabo ambazo amekuwa akifanya na wanamuziki wengine. Lakini hii collabo yake na msanii...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong. Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu ifuatayo ni list ya nyimbo 10 zilizo tizamwa zaidi Tanzania mpaka kupitia platform ya Youtube 1.Jeje 23m (Diamond 2.Teamo 12m (Vanny & Messias 3Quarantine 8.5m (WBC 4.Dodo 6.7m (Kiba...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
habar wakuu, Naomba kama kuna mtu atake weza niwekea link au namna yeyote yakupa hizi nyimbo. 1. Mwaka wa tabu wa Ally Choki 2. Tunda RMX wa Mwijuma Mumini
2 Reactions
20 Replies
7K Views
SEHEMU YA 01: “We binti njoo hapa,” nilikuwa napita kwenye mtaa mmoja kule Temeke, nikaitwa hivyo na mbaba mmoja aliyekaa kwenye benchi la kijana anayeosha viatu, wenyewe mnamuita ‘shuushaina’...
2 Reactions
34 Replies
13K Views
Mtunzi Boniphance Ngumije sehemu ya 01 “Babu…” sauti ya mtoto ilisikia. “Naam mjukuu wangu.” Ilijibu sauti nzito ya mtu mzee. Kisha wanaonekana watu wawili wakiwa wameketi kwenye gogo la mti...
11 Reactions
140 Replies
12K Views
Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza redio basi fungulia Choice FM hutojutia. Ni ngoma juu ya ngoma na watangazaji wake wana Vibe kinoma noma Kule hakuna siasa wala matangazo ya mara kwa mara...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
The exorcist Ni moja kati ya masterpiece iliyotoka miaka y mwanzo ya 70.ila ninapoitazama unaweza kusema ni ya mwaka jana. Nilichojifunza kwenye hiyo filamu ni kwamba 1. Sayansi haiwezi kutatua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom