Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ameishi akiwa muuza mwili familia ikamtenga. Alipopata mimba iliyotokana na kazi yake hiyo akaamua kuachana nayo na kutoka kabisa nje ya mji kulea mimba na mwanae ataezaliwa. Akabadilika kimaisha...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
. By Sangu Joseph . Mxieeeew! Ngoja nianze kwa kumsonya ndugu Mfalme japo nahofia sana Team Kiba kuja kunishambulia, kwa sababu tu ya kuandika mawazo yangu, Ila kiukweli Mfalme Alikiba ni moja ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo. Shabiki wa Kiba hawajielewi. Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kuangalia hii movie lazima umuelewe na uache kumuhukumu Jackline Mengi [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ijumaa ya wiki hii Ali Kiba atakua ndani ya kipindi cha Homa kinachorushwa na TVE hiki ni kipindi kipya kabisa town na kinatoa fursa kwa watazamaji kushuhudia Msanii akiperform live na band pia...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Walimaliza kupendana kwa simu, wakawashirikisha wazee mapenzi yao. Kupanga tarehe haikuwa kazi, misingi ya harusi ikaandaliwa, ioni moja tulivu wawili hawa wakafunga ndoa, ikawa rahisi tu. Grace...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
FOR LIFE ni tamthilia ya kimarekani iliyotengenezwa na Hank Steinberg, Ilirushwa na kitua cha terevisheni cha ABC mnamo Februari 11, 2020. Tamthilia hii inahusiana na kisa cha kweli cha bwana...
1 Reactions
0 Replies
706 Views
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino. Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliletwa kutoka sayari ya mbali akiwa kwenye mwili wa binadamu kwa nje,ila kwa ndani ni cyborg muuaji..katengenezwa na vyuma maalumu vinavyomuwezesha kufanya anachojisikia hapa duniani.. Lengo ni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kifo? Ndio, ipo app kwenye simu kwa ajili hiyo. Ilianza kama utani, baada ya kujua kuna application inayotabiri binadamu umebakiza muda gani wa kuishi duniani. Marafiki wakaamua kuitumia kama...
2 Reactions
1 Replies
906 Views
.Ndio roho yake...kila kitu chake..furaha yake imelala kwenye mikono ya binti yake..hakuna anachopenda hapa duniani kuliko kumona mwanae akiwa anacheka...ni kama waliungana mwili,akaipa maana ile...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ratiba yake ya kila siku..kupanda treni ya jamii,kutoka nyumbani kwenda kazini na kurudi ni hivo hivo,alishazoea,ndo maisha yake ndani ya miaka 10.. ...Alishawajua kwa majina na sura abiria...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Haikuwa bahati mbaya...wala sio ajali kwao...ilitokea kama wamelala na ikatokea wameamka tofauti na walipolala..ni rahisi hivo tu..wakajikuta wapo kwenye chumba kimoja,chenye vyumba vingi..ni...
3 Reactions
0 Replies
686 Views
Mtunzi Juma Hiza Sehemu ya 01 Niliamua kufunga pingu za maisha na Julieth kwasababu alikuwa ni mwanamke niliyempenda sana. Alikidhi kila aina ya vigezo ambavyo nilikuwa nikivihitaji kwa...
10 Reactions
81 Replies
12K Views
Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo. Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri. Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli Wapo waliodhihaki Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata. 1) Anasema wazazi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu Zuchu Mmepigwa Wazee Anaimba maadhi ya taarabu kwenye beat ya Bongo Fleva Jamaa anaendelea kujaza Wasanii wa kawaida kwenye Label yake, Jamaa hatokuja kupata msanii bora kama harmonize...
3 Reactions
181 Replies
26K Views
Back
Top Bottom