Hii bado ni filamu ya kiitaliano ya kutisha bora sana duniani hadi sasa, inaitwa Cannibal Hallocaust iliyotoka rasmi February 7, 1980 Millan Italia chini ya muongozaji Ruggero Deotato raia wa...
Kwa wapenzi wa soka, kabumbu, kandanda huyu mtu watakuwa wanamfahamu, kutoka Azam Media anakipindi kinaitwa "Soka Kijiweni" kinachoruka Azam TV, kiufupi nakikubali sana hiki kipindi na kinatoa...
By Sangu Joseph
Miezi kadhaa iliyopita niliandika mawazo yangu (Tathmini yangu kwa Harmonize nje ya WCB - JamiiForums moja ambao), mwisho nilijiuliza Harmonize atachukua nafasi ya nani kati ya...
Wana-entertainment natumai mmeamka salama.
Saa moja iliyopita bwana mdogo Diamond Platnumz katoa ngoma yake ya kwanza kabisa kwa mwaka huu 2020.
Haya ni machache kuhusiana na wimbo huo mpya:
1...
Wimbo wa diamond imeendelea kuwa no 1 on trending YouTube Ina wiki 1 tokea itoke. Ngoma za darassa,Nandy pamoja na aslay zimeshindwa kufika no 1 ngoma zote hizo zimetoka kipindi kimoja na ngoma ya...
Muda sio mrefu nimemaliza kutazama series ya Shooter. Kiukweli wakati naanza kuitazama niliona ya kawaida sana ila jinsi nilivyozidi kuangalia episodes nyingi ndio nikaanza kuikubali.
Season 1...
Binafsi ninakuwaga sisikilizi Mara kwa mara kipindi tofauti na habari za michezo kwenye redio,Jana nilibahatika kuona video fupi hiv akisambaa mitandaoni ikimuonesha lil ommy akifanya mahojiano na...
Wakati dunia inapambana na hili gonjwa hatari la covid19, kwa mikakati mbalimbali huku vifo na maambukizi yakiongezeka upande mwingine wale wasanii wa action movies watakuwa kwenye mchakato wa...
Habari za time hii wanabidi
Naombeni kujuzwa zipi filam au series Kali za
1/kibongo
2/kifilipino
3/kihindi
Mm sinaga time na hii mambo sema kuna demu namzimia kila time anataka nimtaftie muviie...
Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh...
Mambo aje wadau,
Leo nimezikumbuka sana hizi ngoma za muendelezo wa Terminator 2&3. Nimejikuta natamani kuzirudia.
Ila kabla sijafanya hivyo, kuhusu suala la ukali wa movie hizo basi mie kura...
Kwa wale Wapenzi Wa Hii Series kitu cha 4 kishatoka kama Hujapata Pita na Hio Link mzigo una Episode 8 Full HD
English Language:
Pia Subtitle ni English
Mzigo uko hapa Link...
Binafsi sio mpenzi sana wa miziki ya kisasa ila nimezisoma sana miziki ya miaka ya 1930s mpaka 1980s na hata ya 1990s na navutiwa sana na aina hii ya miziki ikiwa kwenye ujumbe na burudani pia...
Habari zenu wanajamvi, matumaini yangu muwazima na ni matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaenda vizuri, tujitahidi jamani.
Straight to the point, leo nimetazama movie ya The BFG(mzee wa...
Habari JF!
Poleni wadau na majukumu ,najua bado tupo kwenye mapambano na wengine kutokana na nature ya shughuli zetu masaa mengi tupo nyumbani kifupi tumepunguza kutembea kama hakuna mchongo wa...
Uzi huu ni maalum kwa wapenzi wa muziki wa rock; share chochote kinachohusu muziki wa rock tushirikishe au tujuze chochote kuhusiana na rock music.
Karibuni.
@military_Genius
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.