WASANII WA BONGO HARMONIZE NA VANESSA KATIKA DILEMMA KUBWA.
Mambo vipi wanajamii,
Kuna choice nyingi sana mtu waweza kufanya pasipo pata wasiwasi wowote juu ya maamuzi yako, Lakini kuna mara...
Niliangalia shindano la kusaka vipaji la bongo star search jana nikagundua kwamba limekuwa sio shindano la kusaka vipaji tena bali ni shindano la kusaka watu wanaotia huruma na watu wanaopendwa na...
Katika kukua kwangu,ujana na mpaka Sasa Kuna baadhi ya nyimbo hazijawahi kuchuja katika kuzipenda na kuzisikiliza.kwa upande wa bongo fleva napenda mno za zamani kuliko za sasa.kwa upande Zouk...
Bhanamhala mhu le mhola hene?
Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu.
Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na...
Nchi zilizo msitari wa mbele katika Ukombozi Kusini mwa Afrika zimetendewa mambo mengi maovu na Utawala dhalimu wa Makaburu... Hata hivyo halikupata kutokea tishio zito la kutisha kama hili...
Wimbo mpya The Brand New song kutoka kwa kijana Killy akimshirikisha The king of bongo fleva Mr. Alikiba! Wimbo unakwenda kwa jina la Gubu.
Plz subscribe and Watch Good music from Pure Bongo...
The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song...
Member wa JamiiForums siku ya leo amefanikiwa kutoa albamu pia kuzindua Vesta Project. Kupitia Vesta Project ametoa albamu yenye nyimbo takribani 10 pamoja na hints kuelekea utoaji wa kitabu hicho...
Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana...
MARIJANI Rajabu ingawa hatunaye tena hapa duniani, wapenzi wa muziki wa dansi hapa nchini hata nchi za jirani hawatamsahau kamwe.
Alikuwa miongoni mwa wanamuziki waliotoa mchango mkubwa wa...
Wanajukwaa habari.
Leo kuna tamasha la Tigo Fiesta jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa. Sijafanikiwa kwenda, kwasababu flani flani, ila ningependa kupata updates yanayoendelea.
Nilipenda sana...
Napenda kabla sijalala kusikiliza karibia kila siku hizi nyimbo
1.Kenny Rogers-The Gambler(HASA HII na pia huwa mkubali sana huyu jamaa kenny)
2.Don Williams-Listen To The Radio
Embu...
Tumaini langu mko poa na hata Kama hamko poa , hamna serious sickness ndiyo maana mpo JF time Hii
By the way nimeona nitoe mchango kwa namna ambavyo tunaweza kuwatunuku wasanii wetu heshima...
Kusema kweli siku hizi nimejikuta nashangaa sana jinsi binadamu tunavyotofautiana katika kupokea mambo.
Mimi huwa nafurahi na kupenda nyimbo hadi za wasomali,lakini huu bugana!Nawashangaa tu sana...
Nimepita maeneo ya Uhuru hapo shamba la bibi, ni hatari sana.. Ama hakika hawa jamaa ni balaa aisee, stage ni ya kimataifa, sound moja hatari sana, kumefungwa speaker zaidi ya mia moja, hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.