Kwa wale wote die hard fans wa Konde Boy,Konde Gang aka Jeshiiiii kwanza cheers....
Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya dunia ya bongo fleva haijashuhudia kichupa kikali cha kufungia...
tory za kusisimua.
Simulizi: 'MKUFU WA MALIKIA WA KIJINI'
Mtunzi: Meteck Derthod
SEHEMU YA--- 01
Shukurani kwa:-
1> Mungu aliyeniumba na kunifanya niendelee
kuishi mpaka muda huu.
2>Wote wanaotoa...
Habari za wikiendi wanaforum.
Kwa wenzangu tunaopenda kwenye kurelax night club wikiendi.Naomba kufahamishwa nightclub zenye strippers ( Hottest sex dancing babies kwenye box).
Please let me...
Msanii Alikiba amefanya tamasha lake la Alikiba Unforgettable Tour, ambalo ni sehemu ya kuazimisha miaka yake 17 kwenye muziki, na ameanza Tabora usiku wa kuamkia leo Desemba 1, 2019 kwenye uwanja...
Nipende Kwa kusema Tu , kuwa huyu kijana ana kipaji cha pekee hasa kwenye utunzi wa nyimbo za kubembeleza ,... Katika series ya nyimbo alizotoa hvi karbuni , huu wimbo wa naogopa nimeuelewa, bonge...
Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana.
Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu...
Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji.
Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu.
Tatizo linakuwa wapi?
BADO NAKUPENDA SANA :04
alishawahi kufanywa mjinga sana na kijana aliyekutana naye kabla ya Hansy, alisema "kabla sijaingia rasmi katika mahusiano na Hansy, nilikuwa na mpenzi niliyehisi...
BADO NAKUPENDA SANA :03
unahitaji nini leo, maana mzigo mpya huo" Ney alijitahidi kujiongelesha lakini binti yule alimsogelea Ney nakumwambia "Pole sana dada Ney, unaonekana una maumivu sana...
BADO NAKUPENDA SANA:02
kinachonifurahisha zaidi, nimejitahidi kufuta namba yako katika simu yangu wakati inaishi kichwani na ndani ya moyo wangu, kiasi kwamba hata nikikurupushwa usiku naitaja...
SEHEMU YA MWISHO YA SEASON HII YA KWANZA
. Kwakua mimi nilikua najua jinsi waislamu wanavyozika, wao niliwazika kwa kutanguliza na dua. Booker na Philipo niliwazika na kuwaombea walazwe...
Mwangaluka!
Ningependa kujua yale mashindano kipindi flani yalifanywa na Kituo cha EATV kupitia kipindi chao cha Uswazi nadhani host akiwa bado ni Musa Hussein hivi bado yanaendelea!?
Yalikuwa...
Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.