Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hii ni listi yangu ya the best musicians vocalists of all the time Male 1. Wanya Morris (Boys 2 Men) 2. Joe Thomas 3. R. Kelly Female 1. Mariah Carey 2. Whitney Houston 3. Celine Dion...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Movie ni kazi za sanaa ambazo kwa namna moja ama nyingine zina mchango mkubwa sana katika kubadilisha maisha ya watu. Movie zina mafunzo makubwa sana kwetu. Lakini mbali na funzo tunalolipata...
1 Reactions
120 Replies
15K Views
Habari wana JF, Leo sijui imekuwaje nimekumbuka sana vitu ambavyo viliniliwaza miaka ya 80 -90+ hivi; Kabla ya ujio wa Tido muhando na kuibadili RTD, TVT na kuwa TBC taifa,FM na TBC kulikuwa na...
1 Reactions
56 Replies
13K Views
SEHEMU YA KWANZA “KAMA kweli kuna malipo ya ubaya na uovu basi mimi nililipwa kwa yale ya uovu. Lakini namshukuru sana Mungu kwani alijua dhamira yangu ikafika mahali akakataa hivyo akaamua...
4 Reactions
44 Replies
13K Views
ETv channel 116 na EaTv channel 118 wamerudi!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
KIFO SIKU YA HARUSI MTUNZI JOSHUA LIBERATH 0713111547 WHATSAPP Ilikua siku ya jumatatu asubuhi Jesca aliamka akiwa mwenye huzuni sana ,hakujua ni kwa sababu yupo katika hali ile ,taratibu jesca...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zahumu ndani. moja kwa moja kwenye point. Mimi nimwandishi/mtunzi wa nyimbo najambo hili nalipenda sana, huwa naandika nyimbo kwa muda wangu waziada. Ningelipenda pata mtu/ watu watakao...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ivo
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za usiku wakubwa Naomba tujuzane kuhusu Azam TV zile channel kibao ambazo zinapatikana pale, je ni channel gani unaipendelea zaidi ya zote Mimi naipenda sana travelxpHD haijawahi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za mchana wadau, nahitaji taarabu za zaman za kina issa na wengineo, mwenye nazo Tafadhali naomba aziweke hapa.
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Sina maana mbaya ila kwa hizi mambo ukiziona utajua kabisa kaka mkubwa anakimbizwa na bwana mdogo mond shida iko wapi kwa kaka mkubwa?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Allow me to introduce to you MBIO ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman [emoji1190] kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Yope remix una siku moja lakini kutokana na uwepo wa simba inaelekea kuipita view na kuiuwa kifo cha mende yope og. Kila mtaa,kila bar,kila kona ngoma ni hiii. Wazee wakupiga mitungi na kuyarudi...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
UPEPO WA USIKU-1 BONIFACE BIRAGE Upepo upima mti nguvu na kuuona uhodari wake katika kujishikilia udongoni kwa kuimrisha mizizi iliyojikita.Ndiyo falsafa ya maisha na mikumbo yake hujikita katika...
2 Reactions
65 Replies
25K Views
Nimefika jijini Tanga, ni siku nne sasa zimeshapita.Nimepambana na shughuli zilizonileta, na wiki endi hii nataka nikajichanganye na popo wenzangu kwenye Night clubs. Wenyeji wa Tanga tafadhali...
0 Reactions
41 Replies
28K Views
Habari members, kwenye pitapita mtandaoni nimekupta na website ya kusoma hadithi na kuingiza pesa kwa shirikisha watu kujiunga na kupata sh 1200 kwa kila anayejiunga na kulipia sh 3000 kwa siku...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Wakuu ninataka inunue kin'amuzi, lakini sijajua kati ya hivi kipi ni king'amuzi kizuri DSTV AZAM Continental Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau tupeane movie kali za mapigano za mwaka huu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Muziki wa dansi hakika Unarejea mdogo mdogo kwenye Hadhi yake kama ilivyokuwa zamani,pamoja na kupotezwa na Wadau ili muziki wa kizazi kipya ushike chati lakini ni faraja kubwa kwa Sisi wafia...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Back
Top Bottom