Kama Heading inavyojieleza naomba mwenye namba ya Tuwa au Dada mtu ( ambaye nilikuwa nawasiliana naye bahati mbaya nimepoteza simu yangu ). Natanguliza shukrani kwenu wakuu
Wakuu,
Nakiri huu wimbo nimeanza kuusikia kwa Mara ya kwanza Jana,lakini kumbe una zaida ya mwaka mmoja ila sikuwahi kuusikia,labda kwakua hua si mfuatiliaji sana wa bongo fleva,kumbe aliimba...
DUDU WASHA 1 Episode 1-4
-UTANGULIZI-
Ni mwalimu mkuu wa kike katika shule ya msingi Tundu aliyefahamika kwa jina la Walda Nyaongo,,shuleni hapo alikuwa akiwafundisha somo la hesabu darasa la...
Wakuu Kwema,
Miaka ya 1980 katikati Mwanadada Sofia George aliibuka na kibao chake kikali kinachokwenda kwa jina la Girlie Girlie ambapo alikua akimshutumu mpenzi wake kijana kua ni mpenda...
Kutoka kwenye wimbo unaoitwa KAINAMA Diamond platnumz anaimba:-
"Salam ziende kwa WANJERA,
Doni maisha kitasa kwenye Bunyeru"
wakuu nimewaza sana wanjera ni nani na "Doni maisha kitasa kwenye...
Nipo katika basi moja la kampuni fulani nkisafiri kuelekea mkoa fulani, nimejikuta chuki yangu juu ya bongo muvi ikizidi kuimarika...
.
.
Kuna muvi sijui inaitwaje lakini kuna huyu jamaa anajiita...
Jamani hii Album ya huyu dada inaitwa Rhapsody ni moto wa kuotea mbali. Amewazungumzia wanawake weusi na maisha yao kwa ujumla: Maya Angelou, Nina Simone, Oprah.
Kuna wimbo unaitwa Cleo ambapo...
Habari wakuu!! kwa wale wote wanao fuatilia MARK ANGEL COMEDY tukutane hapa.. Hivi ni vichekesho vinavyotoka kila ijumaa (episode moja)
Vinarushwa youtube..
Mimi binafsi nampenda "success"...
Ni jioni tulivu, nachukua KIFAA changu kisha naanza kupekua pekua kwenye kwenye "folder" la HIPHOP...
Nakutana na albamu ya Jay Z inayoitwa "The Blueprint", naamua kuzicheza ngoma zote kwa pamoja...
Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini
Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma
Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala
Na adui mkubwa wa zinaa lakini alikufa kwa ngoma
Najaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.