Hizi nyimbo zinatoka mie ndo nilikuwa mgeni mgeni kwenye ajira. Mambo ya boyfriend girlfriend zone ndo yalikuwa yanabamba.
Siku ya siku nikamwambia I CAN MAKE YOU FEEL UNPRETTY TOO.... goosh he...
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa miereka ya WWE lakini baada ya kuanza kuleta drama zao na maigizo kuanzia mwaka 2011 nikaacha kuifuatilia sababu ya maigizo kuwa mengi. WWE huwa hakuna mshindi wa...
[Verse 1]
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawakawakaaa aaa
Wanga wape vidonge nimebaini baini
Wanatapatapaaa aaaaaa
Mmmh me na wewe mpaka kiama, tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame...
Kwanza kabisa naomba nieleweke kuwa sisi watanzania kwa kipindi hiki tunatafuta icon yetu kwenye mziki ambaye kwa sasa hivi atatuwakilisha kwenye industry nzima ya muziki duniani.
Ifike pahala...
Simulizi inayozungumzia maisha ya kweli ya kijana aliyezaliwa katika kijiji maskini na chenye kila aina ya watu wakati huo huo akiwa katika safari ndefu ya elimu.
Je, anafanikawa kumaliza masomo...
Mambo vp pple, i'm a professional music producer and sound eng. i was in nairobi kuongeza ujuzi zaidi homeboyz music academy, natumia softwarez kama logic, reason and cubase for high quality audio...
Nimeamua ku post katika jukwaa hili nikiamini itawafikia watu wengi, naomba kujua maana ya huu wimbo wa injili ulioimbwa na mwimbaji wa injili kutoka CONGO Moise Mbiye unaojulikana kama "Tanga...
Wadau nawasilisha App hii ya Music ambayo itawezesha upatikanaji wa nyimbo za maudhui tofauti tofauti DOWNLOAD HAPA . Application hii ni kwa watumiaji wa simu zinazo support Android tu.
Wale wa kishua tukutane hapa wale wapenzi wa disney ni show ipi ilikuteka mimi ni hizi
1.good lucky charlie..Brigit mendler sasa ni pop star mkubwa
2.hannah montana..miley cyrus sasa ni pop star...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.