Tupendane penzi liwe sawasawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilooo
Hakika nina mapenzi na huu wimbo kwakweli.
Big up @Alikiba kwa wimbo huu...
Direct kwenye mada kuu,
Sanaa, kama ikitumika vema, ni nyenzo bora kabisa kuelimisha na kufurahisha jamii lengwa. Kwa miaka ya karibuni, bongo movie zimeondokea kupendwa na watu walio wengi kama...
Kwa kipindi kirefu sjaweza andika lolote kupitia eneo ili;Marafiki zangu nina wakaribisha kununua RIWAYA AMBAYO NI UTUNZI WANGU MWENYEWE NDUGU SIFILEO!
JINA LA RIWAYA NI: SHIMO LA TAKA NDANI YA...
SEHEMU YA 01:
Ninaposema niliolewa na wanaume watatu, nataka nieleweke vizuri kwamba walinioa na niliishi nao kwa miaka kadhaa bila wao wenyewe kujuana. Kwa maneno mengine ni kwamba nilikuwa mke...
MTUNZI :ERIC SHIGONGO
SEHEMU YA 01
GENEVIEVE aliwaangalia watoto wake mapacha na kujikuta akitabasamu, ujio wao duniani ulifuta machozi yake na kumuondolea aibu ya kuitwa mwanamke tasa kila...
Ukisikia neno Rushwa unapata picha gani kwenye fikra zako? Unadhani Rushwa inahusisha pesa kubwa kubwa tu!! Leo hii katika Kumbi za Sinema za Mlimani City unaletea Filamu ya...
Kwa mda nilikua siiangalii tena bongo movie lakini filamu ya FATUMA, TUNU na BAHASHA zimenirudisha rasmi,
Uhalisia asilimia 100%,waigizaji wanajielewa wamezitendea haki nafasi zao yani movie ile...
Salaam wadau,
Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya...
Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.