Wakuu msaada tutani kwa sisi wapenda boxing na wanawazi wa mchezo huu. Hii game kuna channel inayopatikana hapa Tanzania ambayo itaonyesha pambano hili? Nimeangalia dstv naona kavu.
Karibuni simba arts group tunapokea mialiko mbali mbali ya Sanaa Kama michezo ya Ngoma za asili,michoro ya ukutani, Tingatinga tunapatikana Zanzibar 0718923981
Hakika Wasanii wetu wamekuwa kimya sana toka habari za kuugua kwa Msanii Hawa kutangazwa.Nimewataja wasanii wajitokeze kwa wingi ili watuongoze na watanzania wengine tumwokoe Binti huyo.Shime...
Katika muziki wa bongofleva kumewahi tokea wasanii ambao walihit katika nyimbo walizoshirikishwa na baadaye watu wakawa na hamu ya kuwasikia katika nyimbo zao wenyewe, ila matokeo yake yalikuwa...
Niend direct kwenye mada husika hapo juu..ni kwel tunaona mziki wa bongofleva ukivuka mipaka tena sana tu lakini shida ni moja tu wasanii hawajui namna ya kuendana na mziki huo wa kimataifa bado...
Hiyo caption kijana kaiandika kwa hisia sana. Kuna kitu kinaendelea kati ya Hawa wawili ama ndo Besties kama alivyoandika hapo kwa herufi kubwa?
Last time I checked Jada na Willy walikua na Open...
Wakuu habari..!!!hivi kwanini siku izi mziki wa bongo fleva nyimbo zao zimekuwa azina ujumbe mzuri ila zimekuwa na ujumbe wa matusi sana mfano zamani mziki wa bongo fleva mtu ukisikiliza nyimbo...
Hakika Marehemu Kanumba kaondoka na wasanii walibaki wameshindwa kabisa kuziba pengo lake.Kumbe Marehemu Kanumbi ndio aliibeba tasnia ya filamu.Nilitegemea kina JB, Ray , Wema na wengineo...
tukutane apa .Na tupeane updated za muendelezo wake .ni musika gani alikufanya siku yako iwe poa Kila ulipo tazama pirates of the Caribbean .binafsi Na mkubali yule jitu pweza
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwenye viwanja tofauti kuwaka moto.
Jijini Dar es Salaam mabingwa wa kihistoria katika ligi, Yanga, watakuwa wanacheza dhidi ya Coastal Union ya Tanga...
Habari za kushangaza ulimwengu ni juu ya majogoo wa jiji(Liverpool) kukasirika na kuanza tabia ya kupanda kila kuku jike anayekatisha mbele yao kitendo kinachoshangaza wakati wa dunia hii. Majogoo...
Wakuu habari zenu
Nilikua naomba kufahamu ni kiwanja gani kinahit Dar kwa sasa. I have been going to Samaki samaki - Masaki most of the time. And i would like to switch. Any recommendations of a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.