Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Dán Phim Cách Nhiệt Nhà Kính Có Ảnh Hưởng Đến Cây Cối Trong Nhà Không Rất nhiều khách hàng khi đang có ý định dán phim cách nhiệt nhà kính băn khoăn không biết liệu sử dụng phim cách nhiệt có ảnh...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Habari wana jf,hii ni thread maalumu kwa ajili ya wapenzi wote na wafatiliaji wa tamthilia pendwa inayooneshwa na Azam Tv katika channel yake ya Azam 2 kila saa 3 na nusu usiku juma tatu hadi...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi. Kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta nyimbo ya zamani enzi hzo inaitwa kivumbi na jasho naomba antumie au ataje jina la band iliyoiimba.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman mwenye nazo hizi series za 24hrs au ambae anajua jinsi ya kuzidownload anisaidie Niko sinza Dar es Salaam
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee baba nguza Viking na mwanae papi nguza wameachia track moya ya injili
1 Reactions
38 Replies
11K Views
DIAMOND PLATNUMZ - SINIZA Ni nyimbo ambayo haijatoka rasmi ila ni nzuri sana, aina hii ya Bongo flavour ni muziki halisia wa kitanzania. Jaribu kuisikiliza hapa na toa maoni yako
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kuna wimbo nausikia unapigwa sana una mashairi " Walle walle! Tell me!! Tell me !! As you like ooh as you like !! ". Umeimbwa na nani please huu wimbo na unaitwaje ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
USALITI WA KIAPO Mtunzi – Nea Makala Sehemu ya 1 +255 713 373731 TONY ni kijana mtanashati na mwenye muonekano maridhawa, tabasamu lake limekuwa likihadaa nyoyo za wasichana wengi. Sauti yake...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
leo nilikuwa napekua makabrasha ya zamani ya movie nikaikuta hii movie ya ORIGINAL SIN,Angelina Jolie na Anthony Banderas,bonge moja la joint,kwa ambae hajaiona na anapenda movie kali ajaribu...
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Naona jamaa wamepania sana kwenye tasnia ya habari....DizzimFM 93.1 Morogoro
4 Reactions
47 Replies
14K Views
Mimi binafsi naikubali Propaganda, moja ya vibao bora vya Hiphop na kutoka kwa Mwanahiphop Fareed Kubanda (FidQ ). Wewe unaikbali ipi?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Namsikiliza hapa kwenye uchambuzi wa Simba v Kagera ... katumia neno “improvisation”[emoji23][emoji23] kuelezea movement na kitendo alichofanya Kichuya kipindi hiki cha pili. Nachotaka kujua huyu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The Odessa Classics music festival in June aims to promote Ukraine internationally while highlighting Odesa's credentials as one of the classical music capitals of Eastern Europe. The iconic...
0 Reactions
3 Replies
681 Views
JUMA HIZA PENZI LILILOSABABISHA MAUTI-01 Based on True Story. 0712988278 Niliamua kufunga pingu za maisha na Julieth kwasababu alikuwa ni mwanamke niliyempenda sana. Alikidhi kila aina ya vigezo...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Hii ngoma sichoki kuisikiliza, imeshiba kila mtu ameonyesha uwezo wake, ama kweli hapa wamekutana wababe, Khaligraph Jones amezoea kuwaonea wasanii anapofanya kolabo ila kwa mara ya kwanza hapa...
10 Reactions
198 Replies
30K Views
Ni kama wiki moja hivi imepita ambapo tundaman amefanya kitu ambacho ni for the first time in TZ music industry, amerelease videos 3 mpya za ngoma zake kwa wakati mmoja. Katik hizo ngoma,binafsi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Je wajua kuwa wachezaji wa mpira, basketball au mchezo wowote wana IQ na photographic memory? Je wajua kuwa wachezaji wa mpira, basketball au mchezo wowote wana IQ na photographic memory?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenye hi sanaa ya muziki huwa sija wai pata ukweri wa kina juu ya haya mambo .Mutayalishaji alie changia hasa kuukuza muziki huo .Mwimbaji alie wafungua wasanii wengine ku join revolution hiyo...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
kwa mwaka huu wa 2016/2017 Kuna series Kali za kikolea zimetoka mpaka sasa nmeona drama zifuatazo:: legend of blue sea, suspicious partner, missing nine, the Rebel, moon lovers, fight my way na my...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba mwenye mp3 ya huu wimbo tafadhali au link ya kudownload anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom