Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa wale wanazi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini. Tembelea uzi huo hapo chini; Drama 10 bora za kihistoria kuhusu JOSEON:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu wakuu. Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940s - 2000s) zenye good quality na subtitles za Kiingereza. Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana ni kuomba msaada...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwema humu? Za Weekennd? Naombeni msaada, kuna Movie nimei-download thru limetonets, sasa imekuja na lugha ya kihindi na haina subtitle, naombeni msaada jinsi ya kutafuta subtitle na kuipachika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale mnao ujua wimbo wa Marehem fanuel sedekia wimbo wake wa manukato, kuna jamaa kauimba kama recorded sikiliza
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Inaitwa Nostalgia.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Zifuatazo ni tracks kumi za Notorious B.I.G ambazo kila siku nikizisikiliza hazichuji masikioni mwangu namm naburudika as if the king is still out there; Ten Crack Commandments Get High ft the...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi was soka kama mnavyojua mwaka huu kule urusi yale mambo yetu yamerejea tena. Ningependa Uzi huu tubashiri nani atakuwa mbabe dhidi ya wenzake. Ningependa pia tuweke na sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi guyz!! Kwani ile league yetu ya wanawake ambayo TFF ilianzisha iliishia wapi, Maana hadi leo sijui a wala z tanzania bhana!!
1 Reactions
2 Replies
722 Views
Kwa Wale wazee wa movie. Hebu tujuzane movie kali uliyoikubali kuanzia scenes arrangements, location, actors, scenes originality, story originality na vingine vingi. Kwangu mimi Tangu nianze...
14 Reactions
461 Replies
49K Views
Ukitaka kuangalia series za kihindi zenye subtitle ya kiingereza unatumia program gan
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Naomba kuuliza dstv wataonesha kombe la dunia?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
0 Reactions
5 Replies
4K Views
'hellow there................wanajamvi wote natumai ni wazima kabisa,mwenye mawasiliano na ENIKA naomba ani-check PM please nna shida nae muhimu sana kama unamfaham au ni mtu wako wa karibu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
ZA KUTWA MARAFIKI NA NDUGU ZANGU , UMUHIMU WA MALEZI YA MAMA HAYANA MFANO, NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA WAKINA MAMA NA WALEZI WOTE WANAOVAA UHUSIKA WA MZAZI KAMA MAMA WIKI NJEMA KWENU NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zawadi bora kwa mama zetu kutoka kwa dada yetu Aunty Ezekiel (mama Cookie Iyobo) Katika kuadhimisha siku ya mama duniani, Aunty Ezekiel amekuja na kitu kizuri kama zawadi kwa mama zetu popote...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu,,kuna background music flani ivi huwa inapigwa kwenye EATV Pale kipindi kikiwa kwa hewa afu wanaenda break asa ndo huwa inapigwa hiyo nyimbo kiduchu,,,ni ngoma flani ivi ya mbele,,, naomba...
1 Reactions
6 Replies
894 Views
Hivi hawa wakali wa nyimbo za miduara wamepotelea wapi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kweli hii dunia kutesa kwa zamu. Yanga ilokuwa inamwaga mipesa kwa usajili wa wachezaj enz hzo Tp Mazembe kashuha bongo tunaambiwa viingilio bure. Yanga ya siku hizi ni kituko kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Niwape pongezi azam media kwa hiki kipindi, ni kipindi bora kabisa na cha kuvutia, kina uhalisia kabisa wa mziki hasa wa kitanzania kipindi hicho. Ni "live band" ya nguvu, ni pongeze UTALII BAND...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom