Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
https://play.google.com/store/apps/details?id=sure.n2odds
0 Reactions
0 Replies
783 Views
“I want him dead,” (ninataka afe mara moja) “Okey! Sir! Do you want us to kill his family too?” (Sawa! Mkuu! Unataka tuimalize na familia yake pia?) “Yes! Just kill them all,” (ndiyo! Waue wote)...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Nyimbo nyingine ni heri zingesikilizwa tu bila kutengenezewa video mbaya isiyokuwa na hadhi sawa na audio yake.
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
anaanzia hapa Alikaa gerezani miaka 20 akisubiri kunyongwa kwa mauaji ambayo hakuhusika. Akiwa gerezani kwa muda huo wote Skinner alikuwa akiendelea kushikiria msimamo wake kuwa siyo yeye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka 2010 Skinner alikuwa amekaa gerezan kwa miaka 15, akiwa amejaribu kukata rufaa mara kadhaa na kukataliwa. Tarehe 24, mwezi wa 2 mwaka 2010, Skinner alihamishiwa kwenye kitengo cha unyongaji...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Habari wana jf! Najua baadhi walibahatika kumchangia msanii na wengine kama kawaida yao walizipata youtube bure kanisa bila kujali copyright za msanii kuua kazi zake. Turudi kwenye mada, nyimbo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Story : ZAFEERA Mwandishi : Gerald Mtenga Mawasiliano : 0625600802 Barua pepe : gmtenga@gmail.com UTANGULIZI : Bila shaka hakuna binadamu anayependa kuishi maisha ya kimasikini na ya...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
SIMULIZI Mtunzi:Issa,M.M Jina la simulizi:SAFARI YA KIJIJIN ......Ilikua ni saa 12:30 za asubuhi wakat nimejilaza kitandani Mguu mmoja nimeubwaga kule na mwengine kule utazani nimekufa maji...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
"kaka mbona unanikanyaga jamani, inamaana huoni kweli au makusudi tu jamani" Ilikua ni sauti ya msichana akilalamika ndani ya daladala. "we dada vipi, kwani ulitakaje sasa, kazi kujilalamisha...
3 Reactions
41 Replies
12K Views
Inaanzi hapa Alikaa gerezani miaka 20 akisubiri kunyongwa kwa mauaji ambayo hakuhusika. i Emily akiwa na wanafunzi wake anapewa picha zilizopigwa eneno la tukio wakati wa kukusanya ushahidi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni kwa wadau wa tasnia ya filamu Usiku wa kuamkia leo wezi wamepachua kitasa cha mlango mkubwa wa kuingilia nyumbani kwangu na kufanikiwa kuingia ndani. Wameiba vitu vingi vyenye thamani...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Habari zenu wadau, unaweza ukasubscribe channel yetu ya THE BIG TALENT SHOW kwa kutumia link THE BIG TALENT SHOW pia unaweza ukaifollow page yetu kwa kutumia INSTAGRAM kwa jina la THE BIG TALENT...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Huyu mama nimesikiliza muziki wake tangu miaka ya 2000 mwanzoni lakini mpaka leo nyimbo zake huwa sichoki kabisa kuzisikiliza. Watu wengi hawamfahamu lakini uwezo wake siyo wa mchezo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
CR7
Mwacheni tu aitwe mnyama si kwa kwa mateso anayowapa Juventus
3 Reactions
1 Replies
515 Views
Michael Jackson wacko jacko king of Pop 1 Thriller 2. Dangerous 3. Brack or White 4. Libelian girl 5 2 bad 6. Dirty Diana 7. You rock my word 8 beat it 9. Remember the time 10. smooth...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Na Sangu Joseph . Kwanza nianze kuwapongeza kampuni ya Azam Media kupitia mkurugenzi wake TIDO MUHANDO kwa kuamua kuirejesha tena kwenye Ramani Tasnia ya filamu nchini kiukweli kwa upande wangu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom