Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Masaa mawili ya kumtukuza Mungu kwa nyimbo
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Mr Bean ni Mchekeshaji Maarufu sana Duniani Na yeye Ameonesha kuvutiwa na chalenji ya Dame Tu Cosita yaani "Nipe Kitu Kidogo" Muone hapo chini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau. Kwa wale wazalendo wa nyimbo za hapa nyumbani maarufu kama bongo fleva mtakua mmeusikia wimbo mpya wa msanii Diamond Platnumz. Mimi sio mshabiki wa huyu msanii ila hii...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Huu wimbo umejaa matusi mno sijui hii sanaa ya hawa vijana wa bongo fleva wainaipeleka wapi ni uchafu mtupu hasa verse ya Roma nae maua kaingia mkenge katika huu wimbo wa uchafu. Baba yake na...
19 Reactions
152 Replies
33K Views
Kwangu mimi ni: Game over man Dear dictator Acts of vengeance Till death do us apart Na nyingine nilizozisahau na nyingine zipo still kwenye downloads..
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimesikitishwa sana na kwa kiasi kikubwa mno mara baada ya kusikia ya kwamba Mwanamuziki wa Ngiama Makanda Werrason na Bendi yake ya ' Maison Mere ' wanakuja ' Kutumbuiza ' nchini Tanzania kwa...
7 Reactions
66 Replies
9K Views
Leo nimepata muda basi nili check mawingu TV walikuwa na event mkoan huko so katika kutoa appreciation zao kwa msanii , jina mtoto wa mama said basi nilikuwa na subili nione kama watapiga nyimbo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
hakika Koffi Olomide ni mwamba katika mziki Alidor lyrics The reality is unreal, Saint-James, Didi Stone, organise a reunion for your mother, so she can take it easy Baby you told me that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna siku siku nilimsikia Diamond akisema kwa mafumbo kuwa eti nyimbo zake hazipigwa kwenye baadhi ya redio na luninga kwa sababu za maonevu. Ni vituo gani hivyo na kwasababu gani hasa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni Movie Mpya kabisa kutoka USA.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amekutana uso kwa uso na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo harrison Mwakyembe na Naibu Waziri Juliana Shonza kwenye kikao walichoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HABARI ZA JIONI LEO TUNA MOVI MPYA TENA YA KICHAWI NA YA KUTISHA "Kundi la vijana ambao wanaenda katika msitu mmoja kwa nia ya kushoot movie yao wanakumbana na matukio ya kuogopesha kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu embu nijuzeni maradona ni shoga. Kuna clip nimeona huko Inst kwenye account ya nurs_et.. jamaa flani maarufu wa kuchoma choma nyama huko kwa nchi ya trump alimaarufu #saltbae. Maradona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu!!! Mbunge wa Mikumi na msanii mkongwe Professor Jay kaachia ngoma mpya inayoitwa "Pagamisa" ikiwa na maana pambana/endelea kupambana. Kwa kifupi ngoma ni Kali na hizi ni baadhi ya...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Hizi ni baadhi nyimbo bora kabisa kuwahi kuimbwa na wasanii kutoka marekani 1. The chainsmokers ft codplay - Something just like this 2.Ed Sheeran - Castle on the Hill 3.kygo&Selena Gomez -...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Balaa jingine kutoka Tandale, Dar es salaam, Tanzania African Beauty_diamond Platnumz ft Omarion (swahili verse by Omarion imetuliaaaa....)
2 Reactions
57 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa CCM James amewaambia Basata na Wizara ya Utamaduni na michezo iwe inaelimisha wasanii badala ya kuwafungia miziki yao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman nataka kujua kwaito Fulani hiv inapigwa kila sherehe yan.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu mwenye na picha hizo azitungike humu. Itapendeza sana..... Inanikumbusha mbali sana.....
0 Reactions
16 Replies
10K Views
K.K.K by Roma ft Nicolazo Verse1:Roma Wameweka mpira kwapani tayari nishawanawa Ka napiga halafu nafinya namficha shinji kagawa Suka weka kushoto maninja wakachimbe dawa Nina ngunga kama...
0 Reactions
32 Replies
16K Views
Back
Top Bottom