Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sina cha kusema zaidi Subalkheri Mpenzi Aslay we noma Pande za Changoko-Same
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wadada ambao mshaiona hii series aisee inachekesha sana,kuna vioja ,,mi sijamailiza yote lakin inanichekesha sana,,kuna wadada wanne humu wama vituko,wanatembea na mwanaume kisha wanasimuliana...
11 Reactions
52 Replies
6K Views
Good afternoon ladies and gentlemen. Ukijaribu kuangalia video clip ya YouTube hapo juu ukianzia dakika ya 38:45 mpaka 39:45 (nilijaribu ku cut nimeshindwa) utaona jinsi gani msanii Juma Mohammed...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Nilijikuta sina la kufanya katika wakati ule mgumu nikiwa mpweke Kitandani macho yangu yakiangalia mwanga wa jua ulio penya katika tundu la paa lililochoka na kurusu mwanga kupita kila sehemu ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Dah, mimi hii ngoma 'Can't Stop the Reign' ya Biggie na Shaq kila nikiisikiliza najiambia niendelee tu kupambana hadi kieleweke. I wish tu Biggie mwisho angesema God badala ya devil, lakini...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
q
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi...! Hivi hizi movie tunazoangalia kwenye kumbi zetu za cinema Tanzania huwa zinapatikanaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jinsi ya kupata wimbo huo Hasa ulioimbwa kiswahili niwe nawe hadi Milele
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Chanel pendwa kwa sasa tanzania azam 2 inazua mabalaa nyumban kwa tamthilia zake za kihindi zilizotafsiriwa kiswahili..tamthilia hizi ambazo zinakwenda kwa majina ya NAAGIN aka la manyoka nyoka...
4 Reactions
21 Replies
8K Views
Je Kuna Citizen TV ya Kenya kule Tanzania? (Mi ni Mkenya.) Ikiwa kunayo, kuna kipindi ambacho kilijulikana kama "Moyo" kilichokuwa kikija Jumatano (Saa Moja unusu usiku,) na marudio yake saa kumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
You want me silent? Kill me first, You want me quite? Kill me first. You want me shut my mouth? Kill me first. You want me bite my tongue? Kill me first. Kidnapp me,Torture me, Cripple me, Harass...
0 Reactions
5 Replies
742 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapenzi wa vichekesho weka kichekesho unacho kifahamu pia utapata kichekesho usicho kifahamu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NENO LA MATUMAINI. SIKU moja kundi kubwa la vyura likiwa linahama sehemu moja kwenda nyingi, kwa bahati mbaya vyura wawili wakatumbukia kwenye shimo. Kutokana na urefu wa shimo hilo, vyura...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyimbo zake kila ukisikiliza zinaingia hadi kwenye sakafu ya ubongo. Lakini siku hizi sijui nini kimempata, naomba wadau mrudisheni kwenye mziki 20% Mungu akukumbuke, akuinue tena
0 Reactions
5 Replies
943 Views
Tofauti na club seven ambako nilikuwa jana, kiwanja gani kingine kinabamba hapa dom?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu bwana ni mzuri sana kwenye vichekesho na anauwezo wa kumchekesha mtu, nadhani akiungana na Kashi kashi group aka Mizengwe wa ITV tutakula burudani ya aina yake. Ni hayo tu.
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Katika hali isiyotarajiwa, imeelezwa kuwa msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii’ Tito baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
FBI Agent Hanna Willes ananifanya hata nilie,yani niendelee kuifuatilia Hii series ya DESIGNATED SURVIVOR.Huyu ndio starring wangu kwenye hii series. Kumbe movie zinaweza kumchota mtu akili kiasi...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Bado conte anafail kumfunga wenger kamafunga Mara moja pekee yeye ameshapigwa mechi kibao fa cup final,community shield, carabao cup na EPL Fans wa Chelsea musitegemee kufumnga arsenal chini ya...
2 Reactions
3 Replies
740 Views
MALAIKA? Au SHETANI? (01) Kama kawaida, mwanga unapoanza kumezwa na giza la magharibi, shughuli za utafutaji riziki kwa wengi hukoma hadi siku inayofuata. Jioni hiyo, nawe ulifunga biashara yako...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Back
Top Bottom