Ni Aslay na Nandy:
Wasanii hawa wakikutana kwenye ubunifu wa wimbo wanafanya vizuri sana binafsi nawapa pongez.
1 kwa 1 kwenye mada, ikitokea nimekutana na wasanii hawa nitawashaur waunde group...
Katika kitu nimebaini ni juu ya Radio ya Clouds FM wanatatizo la usikifu kuwa chini ya kiwango mawimbi hayaendi vizuri kama nikuongeza repeaters fanyeni hima ndo hilo.
Mimi huyu "Tunda man" hata akifanya show sebuleni wakati nipo chumbani wala sitotoka kabisa.
Kama ndio nipo nje basi siku hiyo sitolala ndani ,nitawaachia wamalizie show yao.
Wapendwa ndg zanguni wana JF, Kwanza habarini za wakti huu...., kwa upande wangu Mungu ni mwema amenijalia uzima.
Twende moja kwa moja kwenye mada,
Naomba kwanza ifahamike kuwa mimi binafsi ni...
Mwanamziki mkongwe nchini Afrika ya kusini Hugh Masekela amefariki nyumbani kwake Mpumalanga baada ya kupigania uhai wake kwa muda. Amekufa kwa ugonjwa wa saratani ya Tezi dume. Mwana mziki huyu...
Hugh Masekela,mwanamuziki maarufu wa mtindo wa jazz kutoka Afrika Kusini aliyechangia juhudi za kukabiliana na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki dunia akiwa na miaka 78.
Familia...
AFRIKA KUSINI: Gwiji wa muziki wa Jazz na Nguli wa kupiga Tarumbeta, Hugh Masekela afariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Alikuwa akiugua Kansa ya Kibofu
Atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele...
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza...
1.Mtazamo- Afande ft Jay na Solo
2.Mzee wa Busara - Nature na Inspekta
3.Sikiliza - Jide, Fa na Ngwea
4.Jana na leo - Msodoki ft Stamina
5.Dhahabu - Dully ft Blue na Joseline
Wewe kama mdau...
Ukweli usiopinginga wala kutia shaka kabisa, kuwa kwa sasa bongo tamthiliya za kikorea ndo pendwa.
Ubora wa picha zao, uigizaji uliotukuka, stori nzuri yenye mpangilio makini. Wakorea wanatisha...
Jamani naombeni msaada please anaeweza kunisaidia hii movie sikumbuki ni ya mwaka gani but amecheza marehemu steven kanumba,emmanuel myamba pamoja na nancy okoye wa nigeria na wengine wengi,aise...
Wana Jamvi, kuna Radio Iko manyara inaitwa Manyara FM, nimeisikia Juzi nikiwa Babati ila sikujua mawasiliano yao.
Je kuna Mtu ana mawasiliano yao?
Naomba hapa au private.
It is for business...
Wapendwa, husikeni na kichwa cha habari. Baada ya kuona uandishi wa riwaya hauna tija, wazo limenijia kuwa mtunzi wa filamu. Sijajua script inaandikwaje. Nauhitaji huu utaalam niweze kuleta...
KOMBORA KIOTANI-35
BONIFACE BIRAGE.
“Unasemaje?”aliuliza Kilua akiiwa anamshangaa Serambovu kwa kauli zake za matisho.Ilikuwa fedheha sana kwa upande wake na hakutegemea kama watu hawa watafikia...
Ziko nyimbo ambazo Radio na TV zetu wanazipiga hewani asubuhi, mchana na hata jioni bila kujali nani anasikiliza akiwa nani wapi. Jana nilikwenda kumfuata binti yangu shuleni kumrudisha nyumbani...
Kila baada ya chakula Hudson alikua akificha chakula na kuweka kwenye mfuko kisha kuondoka nacho, alikua akikaa huko kwa muda na kurejea, Mama yake alichunguza sana mpaka kujua alikua anapaleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.