Ebwana kwa taarifa yao Grace Mugabe kalegeza na ile Ngoma ya Kikubwa kesho inakesha.
Tujuzane kesho kama utazama ndani utazama kwaajili ya perfomance ya nani??
Unatokelezaje na maexperience yako...
Kila kitu tunachafanya au kupanga kufanya ni vyema tukaainisha wazi faida na hasara ambazo zinatarajiwa kupatikana, kisha zikawekwa kwenye mzani na kuona mzani unapodondokea, kisha ndio tufanye...
Yawezekana sasa hivi Watanzania tumeamua kuamka na kusapoti vya nyumbani, Pole kwa wote mnaotazama home sie bado tuko hapa mpaka Jogoo awike.
Afande Sele kaperfoam kama miongoni mwa wasanii wa...
Mtangazaji wa kipindi cha xxl cha clouds fm amesema hii ndio itakuwa fiesta ya mwisho kufanyika leaders club njooni tufunge NANUKUU; "mwakani tutatafuta pakwenda njoo tufunge leaders" je wanataka...
Uhakika ni kwamba mwaka huu wale watu wa fiesta hakuna msanii wa kimataifa,,sababu ni uzalendo,,wadau hapa kuna ukweli na huu uzalendo umeeanza ili na kwa nn mwanzo aukuwepo kama hoja ni uzalendo...
Kuna mda tunapata shida kutambua kwa urahisi vitu vilivyopo pichani, ni lazima utulivu mkubwa uwepo ili kubaini kilichopo katika picha,
Kwa mfano picha hii sio rahisi kukijua kiumbe kilichopo...
habari jamani humu ndani,Samahani naomba analysis ya hii sample ya beat please and please naomba nini cha kuongeza na nini cha kupunguza kwenye hii sample ya hii beat
my regards
Siku chache zilizopita Davido aliachia ngoma kali inayoitwa FIA
Leo tena mkali huyo wa africa ameachia ngoma nyingine kali inaitwa LIKE DAT
Davido mwaka huu tayari ameachia ngoma 6 , huku...
Burudani ya Fiesta ambayo imefadhiliwa na Tigo imefanya vizuri katika Mikoa yote ambayo ilipita pamoja na kuambata na Fursa kwa wale wasiojua neno Fursa hii inatokana hasa na Target costing yaani...
Fiesta ya mwaka huu iliobeba movement ya 100% percent local Artist haitakua imekamilika pasipo kua na msanii wa kimataifa mwenye mchango wake katika bongo flavour hii kuifikisha hapa ilipo na kua...
AIYOLA
SEHEMU.........01
AUTHOR.......MWL.SADALAH
CONT.....0629306194
WHATSAPP........0768552126
Chini ya mti wa muembe, uliokuwa nje kidogo ya kijiji sofu,kata ya kwala,wilaya ya...
jamani iam doing this just for having funny i need very good analysis from very experienced producers kwenye hiyo sample ya beat najua sijaweza intro and outro what i need is the analysis naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.