Wakuu habarini za manikin? Naombeni msaada wa nyimbo flan ya kitambo kaimba binti flan nsiyemjua ila nakumbuka tu baadhi ya mistar inapoanza, ni kama ifuatavyo
Nikuite jina gani mpenzi, ujue...
Natumaini wadau wa riwaya hamjambo kabisa popote mlipo,
Leo ninawaletea riwaya nzuri kwa ajili yenu, jisomee na kuburudika,
kwa maoni na ushauri/lolote kuhusu kazi zangu za uandishi wa vitabu...
Habari wana jf,
Kama mada inavyojielezea ningependa kushare vitu ambavyo kwa wale tuliokilia dar na kuishi sana huko hatuvujiui. Katika kuishi kwangu sikuwahi kufikiria kuwa unaweza kwenda mikoa...
Katika mitandao na story za watu mitaani katika sekta ya burudani wamekuwa wakijadili na kusifia sana wimbo mpya wa Alikiba "seduce me" kwa kusema ni mzuri na umevunja rekodi sana!
Swali ambalo...
Fainali za mashindano ya 'Miss World' zinafanyika leo nchini China, na Tanzania tunawakilishwa na mrembo Julitha Kabete.
Neno moja kwake kumuombea heri
Naombq yeyote mwenye mawasiliano na huyu mkufunzi au mwenye mawasiliano ya chama cha Mpira wa magongo Tanzania anisaidie nataka kumpeleka kijana wangu katika kuhudhuria kozi ya ukocha,anapenda...
Uzi huu ni wa kutupia ngoma kali za hip hop za kipindi hicho watoto wa kileo tunaziita old school ..tuanze na hizi
-LL cool j~ mama said knock you out
-Warren G~ regulate
- a tribe called Quest...
Wasanii wote wanaochipukia na wangependa kufikisha kazi zao kwenye jamii kwa urahisi na kutambulika basi sogea mahali hapa kupata njia nyepesi na yenye mafanikio zaidi
Niko morbid(mpenda vitu vya ajabu) kidogo hapa,
Kuna huu wimbo wa instrumental huwa unapigwa ktk background ya matangazo ya kumbukumbu ya watu waliokufa, nataka nikiupata niudownload...
"Nikiwa na umri mdogo sana nilijikuta napenda kusikiliza muziki na hata nikiwa shuleni mwalimu aliyeni vutia sana alikua wa michezo na muziki namkumbuka Mwl. Julieti aliyewahi kushika nafasi hiyo...
"Leo ni siku muhimu kwangu kwani mwaka mmoja unatimia tangu nianzishe rasmi utaratibu wa kuachia ngoma zangu kupitia mitandao, nakumbuka wimbo wa amechoka wakukaya video ndo ulifungua dimba kwa...
Tujadili pamoja kuhusu mwenendo wa riwaya nzima.Uchambuzi uambatane na maswali mbalimbali kuhusu simulizi kadri inavyoendelea kutolewa hapa mara mbili kwa wiki.Tuenzi lugha ya kiswahili...
Hizi kauli/matendo siku za usoni zinamaanisha nini? ,Hatuwahi zisikia miaka ya nyuma..au ndo maboresho na ubunifu wa utangazaji na vipindi?
1.kuanzia jana tarehe 14 mpaka siku ya Maadhimisho ya...
Maswali unayoulizwa unajibu tofauti kabisa .
Umeshindwa kuitetea HipHop .
Umeshindwa kukiri HipHop unayoifanya Si Commercial .
Nilichikiona mm ni hiki
Una Stress ya kimzikii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.