Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mi movie ya "Dragon Tiger Gate" ya Donnie yen akiwa na vijana wengine wawili hatari. Nimeitafuta YouTube, Fmovies kote hakuna full movie, wakuu naomba nisaidieni link ya kudownload hii movie ...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wimbo ambao kiukweli kwa sasa ndiyo una hit sana airwaves za Radio Stations nyingi za Tanzania ambapo siujui wote ila Kibwagizo chake tu ndiyo nimekikariri ambacho kinasema ' nampa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ingekua zama hizi, angeambiwa ni mchochezi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari,kwa anaejua utaratibu mzima kuhusu chanel za being sport naomba muongozo wadau!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
i hope Aslay gets the right management to handle his music, namuombea kwa Mungu aheshimu uongozi wake na pia awe na nidhamu ya kazi na ari ya kutaka kufika mbali , the game has changed and its...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Umeimbwa na Emanuel Nkulila, unaitwa 'pain in me'. Nimeshatafuta mpaka nikachoka. Mwenye kujua jinsi ya kuupata tafadhali anisaidie tu.
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Uzi huu ni malumu kwa ajili ya kubadilishana nyimbo mbali mbali zilizowahi ku-hit enzi hizo. Kama una wimbo wa kikongomani, wimbo wa dansi ya kitanzania, bongofleva ya enzi hizo au wowote usisite...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa hali ya maisha ya sasa na mitindo ya maisha ya kilasiku, kwakweli ni vigumu kupata vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na weledi na vipaji vya kipekee kama akina leornado da vinci,einstein...
0 Reactions
4 Replies
745 Views
Huyu Mh. wa Mikumi... nadhani ulikuwa ana maono au alifunuliwa kitu ktk maandiko ya miziki yake... hasa ukisikiliza huu wimbo wake wa Nang'atuka... kuna ujumbe ulio jitoshereza kwa viongozi wetu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mimi napenda sana mizaha, ucheshi na kucheka ili kuniondolea stress za maisha.Hapa jf jukwaa la utani udaku na gossip nalitembelea sana ili kujifurahisha.Pia kwenye tv zetu ikitangazwa kwamba kuna...
14 Reactions
73 Replies
15K Views
Sina kinyogo ndugu zangu, ukweli mie tangu nikiwa mdogo, nikiwa dancer nisiyejitambua na kukalilishwa kuwa hakuna mziki mtamu katika dunia hii kama mziki wa Zaire na sasa DRC, nawaletea siri hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Singida United na mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga umemalizika katika Uwanja wa Namfua kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Wakuu kunariwaya nilisoma hapa siikumbuki,,inahusu kijana mtoto Wa tajiri alimpenda Msichana wao Wa ndani wazazi walivyogundua wakamfukuza yule binti na kijana akaoa mwanamke mwingine,,baadae...
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Mimi nikiongozi wa kikundi cha sanaa kilichopo mkoani Tabora.Kwasasa nipo kigoma kikazi Mara kwa mara huwa napokea malalamiko kutoka kwa wasanii baadhi kutokana na changamoto zahapa napale ambazo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano. Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hellow wakuu, Habari za wakati kama huu. Mimi ni mdau mkubwa sana wa zilipendwa za kwa wenzetu huko, ukiniambia watu kama Cool n' the Gang, natking cole, elvis Presley, marvin Gaye, etc. Unakua...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Back
Top Bottom