Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
NI KISANGA
0 Reactions
6 Replies
883 Views
Vita si jambo jema hata kidogo Raisi wa 16 wa Marekani AbrahamLincoln alisema “ hakuna jambo zuri katika vita isipokuwa mwisho wake”. Tunaishi katika ulimwengu ambao ni kama uwanja wa vita hakuna...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu naamini mlikuwa na siku njema, leo nimeonelea ni vyema ku-share nanyi my all time favourite song na pia mtu mwingine yeyote anayejua wimbo mwingine wenye mahadhi haya ni vizuri kuweka hapa...
2 Reactions
5 Replies
654 Views
Mwanamuziki Rayvanny kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake wa Chuma Ulete. Wimbo huo unaelezea kisa cha mapenzi ambapo mwanamke anamchuna mumewe na kutumia fedha zake kujiremba na kula na...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Covers nyingi za bongo wanazingua ila hawa jamaa wa Kimeru wamenifurahisha kweli kwenye Despacito. Wasikilize
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni mkenya na ni vigumu kupata nyimbo za kwaya hii hata kwenye bookshop za kanisa Katoliki hapa Kenya. Naomba vile nitapata nyimbo hizi nzuri za kwaya ya Mt. Cecilia Mwenge Dar-es-salaam 1...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa music na entertainment hii ni thread special kwa ajili yetu, tutaweka new songs, audio&video, each music genre, hip hop, r&b, pop, african beats, bongo fleva mpk kwa Trump.....pia...
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Wakuu, Leo nimeamka nimejikuta nina hamu ya kuwasikiliza hawa jamaa "UB 40" sema nimepata nyimbo mbili tu. **** kuna mwenye nazo anaweza kunisaidia hapa
1 Reactions
3 Replies
905 Views
Nanukuu : ------ Kumbukumbu yako ikoje katika kukumbuka ? Nilikuita ili uingie ndani. Kwa sababu kila anayeingia lazima atoke nje Sizonje " sizo za nje" ------- Hapa ndipo walipovishana majoho...
5 Reactions
7 Replies
6K Views
Pole sana Roma! Mara ya kwanza nilikuambia Hongera, lakini leo nakwambia POLE! wimbo wako unatuonesha kuwa unajuta kuimba Ukweli, Unajuta kusimama upande wa Watu na Unaonesha kuwa Mtindo...
21 Reactions
113 Replies
11K Views
Talented 1
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikasikia huu wimbo 'moyo mashine' nikajiuliza ni nani huyu anajua kuimba hivi. Kutafutatafuta nikaona jina Ben Pol, nishalisikia ila nikajiuliza wombo huu...
22 Reactions
166 Replies
12K Views
R.O.M.A MKATOLIKI, ALIVYOZAMISHWA NA KUIBUKIA ZIMBABWE. Mtu mmoja, mtaalamu wa elimu ya fizikia, Hisabati na elimu ya anga, Bw. Archimedes wa Syracuse aliyeishi kati ya mwaka 287 - 212 Kabla ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia Big Brother Africa kwa muda sasa lakini nilichokuja kugundua ni kuwa hili ni shindano moja chafu sana. Halipendezi kuingiwa na mtanzania. Haya ni mawazo yangu binafsi...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Hii ni aina ya movie ninazozipenda.. Na hii ni movie bora saana kwangu.. So kama kuna mdau yeyote anaezifahamu movie za aina hii, naomba anidondoshee hapa ili nizichek..........
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Bila ya kupoteza muda, hili song la Horace Brown limebeba ujumbe mahususi kwa vijana wa kisasa. Sisi wahenga nadhani tunakaa mbali na kutizama Ujana maji ya moto. One for the money ("one, one...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari waungwana! Nianze kwa kuwapongeza sana watunzi wa riwaya kwa kazi zao nzuri ambazo huelimisha,huonya,huhamasisha na kuburudisha jamii.Binafsi ni mpenzi wa riwaya hivyo nafurahi sana...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Sekta ya filamu imeendelea kukua kila kukicha nchini Tanzania,ambapo sasa filamu zinazotengenezwa nchini humo zinavuka anga ya kimataifa na kuonyeshwa sehemu nyingine duniani. T Junction ni...
1 Reactions
3 Replies
998 Views
Kwa wapenzi wa animation film, fanya kuidownload hiyo movie imetulia si mchezo. 2017 Quality: 720p / 1080p Language: English Genre: Action , Adventure ...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom