Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hivi kuna wadau wanaifatilia hii tamthiliya nzuri ya kihindi ya Beintehaa? Kiukweli mie naipenda naomba kama kuna watu wanaifatilia tupeane upadate.
0 Reactions
37 Replies
10K Views
La isla bonita guitar
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Guys, Naomba mnipendekezee jina zuri la band ya Muziki ambayo itakuwa ikitumbuiza kwenye 5 Star Hotels tu. Wanabendi ni wazungu na waafrika wa mataifa ya nje na wabongo kidogo...mimi nikiwa...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
1. wapenzi wengi wamekosa umahiri, umahiri wa kutunza siri, lakini wewe u mzuri, umenitunzia siri, nimekukosea mengi lakini umeyafanya mazuri, u mzuri wewe uliye msiri. 2...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tusaidiane jamani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu naomba uo msaada ndugu zangu niweze kupakua huu mzigo nitashukuru sana
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Luis Fonsi na Daddy Yankee wimbo wao wa Despacito umeweka record ya kuwa wimbo wa kwanza kutazamwa zaidi Youtube kwa kupata viewer billion 3 (duniani makadirio tupo billioni 7). Kwa kupitia...
2 Reactions
58 Replies
15K Views
Sikiliza Kisha Nipe Maoni Yako!!!
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Ni Website gani Nzuri kudownload Movies..?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, kama wewe ni masanii wa music wa aina yoyoye na unataka kufanya video nzuri kwa gharama ndogo kabisa ya sawa na Bure au bure kabisa wahi ofa hii kutoka kampuni ya Moo Entertainment...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Habar zenu wakubwa Kama title inavyo jieleza nilikua naomba msaada kwa mwenye kujua program jina na jinsi ya kuipata program inayo tumika kitengenezea extended songs. Ni hilo tu Msaada please
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hakika nimekuwa shabiki wa hili kundi la muziki wanajiita WEUSI ila hapo kwenye huu wimbo wenu mpya nimegundua mna safari ndefu kuwafikia wanamuziki wenye majina duniani kwakuwa sio wabunifu nyie...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu huyu jamaa alichangia kwa kiasi kikubwa ktk fani ya bongo fleva. Bahati mbaya haongelewi sana pamoja na kuwatengenezea 'mental' wasanii wengi wa mwanzo mwanzo wa muziki huu kabla...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Wakuu nimejibebisha kwa wife siku nzima na beach out 2day bt nimejaribu kumuomba tutoke uck kuangalia game kaniambia sna kizunguzungu hatuwez kutoka wala cwez kwenda PLz nipeni app nitakazoona...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Mimi nafanya kazi serikalini Natafuta mke mwenye Kazi miaka yangu ni 25 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Tukutane hapa tumjue mchawi nani leo!!
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Msanii wa bongo fleva, Shilole ameachia wimbo mpya unaitwa ‘Kigori’, hii ngoma imeandikwa na msanii Barnaba, Producer Mazuu.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Hanscana director mzuri sana na amejizoelea sifa kubwa kutokana na video zako nzuri. Ila leo kwakweli nakukosoa waziwazi kwanini video zako nyingi unapenda sana kuweka wadada wakicheza huku...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wimbo mpya wa mnyakyusa wa kwanza WCB rayvany unaitwa chuma ulete wadau mnauonaje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hallo guys, kwenye episode ya pili ya dakika3 tuna discuss kwanini nane-nane ni siku ya mapumziko. Please watch and share your views. Peace
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom