namkumbuka huyu ni moja ya wanamuziki wa muda mrefu wa bongo fleva na kibao chake cha mwisho ambacho mpaka leo mimi hukisikiliza ni kibao Kama Japenga. na huko kuna kipande kimoja anasema...
Wapenzi salaam,
Katika kile kinachoonekana ni kukosa ubunifu, Wasafi Recorda wameonesha kuwa very unprofessional kwa kuchukua kazi ya Mkito katika mitandao yao ya kijamii, kuondoa logo na kuweka...
Mtunzi ( Author) Namba Moja
Ulimwenguni Wa Novel Za Conspiracy Hatimaye Amekuja
Na Novel Mpya Yenye Siri Kuu,
Vitu Ambavyo Huwezi Kuvipata
Sehemu Yeyote Ile Ila Ndani
Ya Hichi Kitabu Maridadi...
Kete ya JB MPIANA
La Danse Du Cheval A.K.A mpunda
Kete ya FERRE GOLA
Tchekele Pete
Best Male West Africa
Fuse ODG Feat Itz Tiffany, Donae Azonto, Ghana
Molare Coupé Decalé, Côte...
Ni nyimbo flani hv I think ni ya south Africa wanaimba (Selebona,Selebona,Selebona) plz wakuu kwa anaejua walioimba huu wimbo Msaada Tafadhal hii nymbo ni ya kitambo kidogo
Sent using Jamii...
HAJARI ZENU WANA JAMVI?
Msaada kidogo, kuna nyimbo fulani za kipindi cha miaka 90 huko , ninazitafuta ila nime sahau majina yake, kama utaweza tambua lyrics nitakazo weka nitashukuru kama...
Ni wimbo mpya wa Mrisho Mpoto; nimeusikiliza kwa makini kwani ameuimba kwa lugha tata sana na sio rahisi kujua aliakuwa anamaanisha nini kwa haraka haraka,
Baada ya kuusikiliza na kutafakari...
Wadau,
Sasa tunaongeza chaneli mpya ya michezo kwa saa 24 kila siku itakayoitwa Azam Sports 2 na kuzinduliwa rasmi tarehe 12 Agosti mwaka huu.
Kwa ongezeko hilo, kifurushi cha Azam Pure cha...
UPEPO WA USIKU-18
BONIFACE BIRAGE
Mama Shully alijishauri sana kati ya kutopiga simu au kupiga kituo cha polisi.Tiyari ameshakuwa mshirika namba moja katikati ya mauaji makuu matano nyumbani...
Hallo,
Kwa wale wanaopenda kupata taarifa ya kisiasa, michezo na vinginevyo, basi kuna chanel mya ya youtube inayeitwa Dakika 3 ambayo inatoa taarifa kwa dakika tatu.
Hii ni halka ya kwanza.
Habari wana jamvi kuna wimbo wa mwijuma muumini unaimwa "MAPENZI GANI YA SAFARINI ,
YA KUDANGANYANA MAMA WEWE UNAKWENDA SONGEA BWANA ANAKWENDA MTWARA"
Tafadhalini naupenda sana nisaidieni wana jamvi.
Hawa jamaa E fm unajua wanaweza kuwapindua ki ushawishi na usikilizwaji clouds media. Maana leo kila kona yani mji mzima wazee kwa vijana naona wameshika kasi kuelekea Tanganyika Packers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.