Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
[emoji106]
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Aloo kumbe huyu mwana hip hop ni mnazi mkubwa wa washika bunduki wa london mchezaji anaempenda sana ni OZIL anakwambia akimuona tu uwanjani huwa ana asilimia flani za ushindi....tatu zake chafu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maisha matakatifu ya Bob Marley, jicho makini lenye kusoma mazingira. Mtu mwenye utu na mwenye Upendo wa hali ya juu. Siku zote Bob atabaki kuwa mfalme wa Maisha yangu.
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanamuziki wa Congo DR Wamesomea Muziki Wanapiga Vyombo zaidi ya moja Mazoezi yao ni ya Masaa nane ( 8 ) bila ya Kupumzika Kabla ya kuanza kutumbuiza hufanya testing ya Saa 1 hadi Masaa 2 Wale...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Ninaomba msaada natafuta namna ya kuziangalia series za Prison Break hizi mpya bila kusubiri kila j tano wanapotoa vipande vipande vyao mm nataka, niangalie mfululizo pale, walipoishia...kwa utamu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serious mtu umekaa kwnye Game miaka zaidi ya mitano , leo unakuja kututolea Video umevaa feki T-shirt GUCCI ya K/koo .. inayouzwa 7500/=. Unavaa Jampa Suti ...sijui zinaitwa hivyo ..zile za...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
"...ni wapi tuna kwenda?' Ni wapi tunakwenda? Shule namaliza nabaki najiuliza nitafanya kazi gani? kwenye kila kampuni kazi hazipatikani heri kwa watoto wa wakuu wanaopata kazi kupitia wazazi hii...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
13 Reasons Why (imepewa ubunifu wa jina Th1rteen R3asons Why katika video)ni tamthilia ya ki amerika iliyotolewa(kuuzwa) katika mtandao na televisheni.Imetokana na kitabu cha tamthilia kilichoitwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha mada kinavosema, umepewa nafasi ya ku-dedicate nyimbo mbili kwa mwenza wako au mtu umpendae/thamini e.g parents, friend, lover, siblings, secret admirer etc What songs will you...
0 Reactions
103 Replies
9K Views
STORY YA DEM WA ADMIN ADMIN Morning guyz LUCY typing.. ADMIN added George GEORGE typing... LUCY Morning bebz ADMIN typing.. GEORGE Thanx for add Admin ADMIN Welcome bro,za siku GEORGE...
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Habari wakuu Kuna hii nyimbo ya kundi la Mafikizolo iitwayo Emlanjeni (meet me at the river). Ni nyimbo ambayo kwa kweli inaugusa moyo wangu hasa. Kuanzia mapigo ya muziki, mpangilio wa sauti na...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Wadau naomba kujua wapi naweza kupata moja kati ya hizo decorder na bei yake ikoje? Pia kama kuna decorder za canal bei zake nijuzwe
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Wadau naulizia wapi naweza kupata moja kati ya hizo decorder na bei yake ikoje?
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Jionee hapa vijana walivyojipanga...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
HAYA NDIYO MASHINDANO TUNAYOTAKA YAKUSAIDIA TAIFA Zikiwa zimepita wiki mbili toka Mwimbaji mwingine staa wa Bongofleva Diamond Platnumz kuzindua Perfume yake, leo May 11, 2017 kupitia 255 ya XXL...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Dah..! Inaskitisha kuhukumiwa bila kosa... - Kenneth G. Bunzali | Facebook
1 Reactions
49 Replies
51K Views
TUNAJIFUNZA NINI JUU YA HIII SIMULIZI. Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Madirector na watunzi wa hizi story katika hizi movie, Constantine (2005), The Devil's Advocate(1997), kuna siri gani nzito walitaka kufikisha katika hadhira husika, au ni ujumbe gani walitaka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom